Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa sasa haruhusiwi tena.....watabaki walewale wauzaji
Ndio tatizo letu litaofanya tubaki hapa tulipo kama tukiendelea na siasa za namna hii,kabla mzee wake hajajivua gamba hamkuuliza maswali haya...hamna mawazo mapya,oct 25 kwel mnahitaji kupumzishwa.
biashara zake ni kama za Ridhiwani Kikwete
naona hali ya hewa imechafuka hehehee