Mfahamu mfanyabiashara na bilionea Kinjekitile Kingunge Ngombare Mwiru

Wakati anawafadhili pale Lumumba mbona hukuwahi kuulizia utajiri wake..??
Baada ya Mzee Ngombale Mwiru kuwapiga chini ndio mnamuulizia??
Hata siku Nape akijitoa hamchelewi kumwita nae Bilionea..
 

Kuna siku NIMEOTA.........Kinje hana tafuti sana Ali khatibu a.k.a shikuba anauzaa ngada hata yale mabag tisa aliyekamatwa nayo masogange uwanja wa ndege ni yake ndio chanzo kifo cha Mangwea na sasa anamtumia T.I.D kufanya biashara zake za ngada kama punda wake pia kipindi hiki katega mingo kwa Diamond na Zari ili apate kuwalostisha na biashara yake ya ngada alikuwa na kikampuni cha constructions kimekufa pia ni mfadhili mzuri wa mzee ****
 
Ni mkulima hodari wa mahindi,ana mashamba kibaigwa,anapovuna hukoboa/kusaga unga wa mahindi anauza S/Africa..ni biashara yake ya muda mrefu sana..

:shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock:
 

Unatakajua utajiri wake sasa kwakuwa baba yake kang'atuka ccm. ..nanihii (1) je mbona hamuulizi utajiri wake?
 
Acha kuchunguza maisha ya watu
 
Kigwangala anasema kuwa ni muuza unga kwenye post yake hii
 

Attachments

  • 1444274766865.jpg
    45.5 KB · Views: 619

Umekosea jina.
Hivi sasa anaitwa Kamanda Kingunge.
Rekebisha tafadhali
 
Ajabu akiwa ccm hamjawahi kuhoji u bilionea wake wala biashara zake, mlifunga macho na masikio mkayatia pamba. Ghafla leo mnaanza kuhoji, shikamoo siasa, huu mchezo ni wa kipuuzi sana. Ila mbona wazito wengine bado mnao hukohuko ndani mnashindwa kuhoji utajiri wao?
 
Mbona kabla baba yake hajahama ccm ulikuwa hujauliza?acha unafiki!
 
Inawezekana kweli hujamsikia kwani yeye hutumia wasanii wa fleva kumbebea madudu yake akishirikiana na kina Ruge wa clouds FM.

Mbona siku zote mlikaa kimya?sisi wengine ndo tunasikia leo bila shaka huko kwenye chama chenu kuna makando kando mengi sana ndo maana mpo tayari kumwaga damu ili msiondoke madarakani maana tutajua mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…