Ndio navyojua mimiHayo majina ya laizer na muyenjwa ni inspiration names jamaa nae kaandika tu bila kujua..
Hiyo laizer ni after yule tajiri wa madini.
Na muyenjwa ni after issac muyenjwa gamba marehemu alikua mtangazaji wa redio one/itv moja watu walmpokea pale ipp na kuish na vizuri akiwa yank.
Sasa mtu wa 86 ana uzee gani?.Huyu bado kijana mbichi kabisa.Mimi mwenyewe ni wa Mwaka huo.86 hako ni kazee sema ndio hivyo pesa
Unataka kuolewa naye??.Bila picha tutamjuaje sasa huyo unayemzungumzia..?
Wameru wenye kutumia jina la laizer watakua Ni wa kutoka Ushirombo.Hata Laizer wameru hutumia hilo.
Hata yeye hupenda kujiita mwana wa Muyenjwa.
Kuhusu huo utajiri sijapata uhakika zaidi ila watu wengi wanasema hivyo.
Jiheshimu mkuu kama huna chakureply sio lazima ureply.Unataka kuolewa naye??.
Ok.sawa MkuuNilikuwa namjibu aliye uliza kati ya mwaka 86 au 89
Sasa unawezaje kudai picha ya Mwanaume mwenzio??.Nyie ndo mnaosababisha mvua zisinyeshe vizuri mwaka huu.Jiheshimu mkuu kama huna chakureply sio lazima ureply.
WasalimieMke na watoto
nafikir unatafuta "ligi ya maneno na kauli " japo hapa si mahala sahihi mkuu.Sasa unawezaje kudai picha ya Mwanaume mwenzio??.Nyie ndo mnaosababisha mvua zisinyeshe vizuri mwaka huu.
Yaani ni sawa na kuuliza kwa nini Manara haanzishi timu yake!Kwanini hafungui media yake akajitegemea!?
Watu wanadhani kufungua Media na kuanza kutengeneza pesa ni kama kunywa uji tu..Yaani ni sawa na kuuliza kwa nini Manara haanzishi timu yake!