Mfahamu Millard Ayo

Mfahamu Millard Ayo

Hayo majina ya laizer na muyenjwa ni inspiration names jamaa nae kaandika tu bila kujua..
Hiyo laizer ni after yule tajiri wa madini.
Na muyenjwa ni after issac muyenjwa gamba marehemu alikua mtangazaji wa redio one/itv moja watu walmpokea pale ipp na kuish na vizuri akiwa yank.
Ndio navyojua mimi
 
Back
Top Bottom