Mfahamu Millard Ayo

Mfahamu Millard Ayo

Wewe ni mjinga sana wameru na wamasai wapo karibu lakini majina yao ya ukoo hawashei
Ayo ni jina la ikoo la wameru na Laizer ni jina la ukoo la wamasai
Na jamaa anabisha utadhani alimbatiza yeye..Kipindi yule mmaasai alipopiga B7 za tanzanite Millard alianza kujiita Millard Ayo Saninu Laizer..

Ni kama tu Diamond anavyojiita Dangote..
 
Iyo laizer hajajiongeza kweli[emoji848][emoji848]
Hayo majina ya laizer na muyenjwa ni inspiration names jamaa nae kaandika tu bila kujua..
Hiyo laizer ni after yule tajiri wa madini.
Na muyenjwa ni after issac muyenjwa gamba marehemu alikua mtangazaji wa redio one/itv moja watu walmpokea pale ipp na kuish na vizuri akiwa yank.
 
Back
Top Bottom