Mfahamu Millard Ayo

Mfahamu Millard Ayo

Njaa zinatupeleka pabaya
Kuna jamaa mtaani watu hawajui mishe zake anashinda na PC na simu. Kumbe ni Public Representative wa msanii flani na hakai sana ofisini. Majirani walipomuona nae kwenye clip Insta wakasema ni chawa, kumbe jamaa ndio anapost vitu vingi vya yule msanii ila hakutaka wajue wasisumbue kutaka tag
 
Unakuta Mtu anamusema mwingine chawa wakati yeye hana hata uhakika wa kula.
Ila anaye itwa chawa yeye anamaendeleo
 
Tarehe kama ya leo mwana wa muyejwa Muite Millard Ayo alizaliwa
 
Waliozungusha form 4 ndo wanao zungusha pesa Duniani...
Mark Zuckerburg kasoma, Elon pia kasoma. Nilichogundua matajiri waliofanikiwa kupitia elimu ni wale waliwekeza kwenye teknolojia maana walifanya kitu wanachomudu na wameingia darasani au wana ujuzi wa kutosha.
Ila hoja yako ina ukweli, hata bongo sidhani kama kuna tajiri mwenye masters.
 
Itakuwa alianza kazi akiwa chalii sana...mi nasoma namsikia radio one..ila nikicheki age yake bado ni janki
 
Back
Top Bottom