Mfahamu Mkenya aliyeiwezesha uchaguzi wa Afrika Kusini wa 1994 kufanyika

Mfahamu Mkenya aliyeiwezesha uchaguzi wa Afrika Kusini wa 1994 kufanyika

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kuna watu wanaopenda kulia lia hapa kwamba Tanzania imeikomboa Afrika. Mfahamu Mkenya kwa jina Professor Washington Okumu aliyeleta pande mbili pamoja na kuwezesha uchanguzi wa South Africa wa 1994 kufanyika. Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa watu wa kabila la Zulu alikuwa amekataa kushiriki katika uchaguzi wa 1994 na chama cha ANC kikiongozwa na Nelson Mandela walishindwa kumbembeleza huyu jamaa kushiriki uchaguzi hadi huyu Mkenya alipokuja na kumshawishi Buthelezi kushiriki katika uchaguzi wa 1994.

Washington Aggrey Jalang'o Okumu (21 February 1936 – 1 November 2016) was a Kenyan diplomat, politician, academic and author, who rose to fame as the mediator that convinced the Inkatha Freedom Party's leader, Mangosuthu Buthelezi, to be part of South Africa's democratic elections in 1994, thereby ensuring a peaceful transition for South Africa's politics.[1] He is also the author of two books: 'Lumumba's Congo: Roots of Conflict' published in 1962 and 'The African Renaissance: History, Significance and Strategy' published in 2002.

Early life​

Okumu was born on the 21st of February 1936 in Siaya county, Kenya, to Joram Okumu and Miriam Okello. His father worked as a health inspector at the time.[2]

Education​

Okumu's education was mainly in Maseno's mission schools, but he also attended Ngiya Primary School, where he was classmates with Barack Obama Sr., father to the former U.S President Barack Obama. After his father's death in 1951, politician Jaramogi Oginga Odingapromised to take care of his education.[2] In 1956, Okumu completed his high school education, attaining the Cambridge University Overseas School Certificate. On the recommendation of the late Tom Mboya, Okumu was selected to be part of 'The Kennedy Airlift', a program aimed at providing education for young and bright East Africans.[3] Okumu attended Iowa Wesleyan University in Mount Pleasant. In 1959, he enrolled for the International Student Relations Seminar (ISRS), a summer programme at Harvard University in Cambridge, Massachusetts.[2] Okumu received his Bachelor of Arts degree from Harvard in 1962. He also studied economics at the University of Cambridge under the Commonwealth Scholarship and Fellowship Plan.[1]


Okumu and Buthelezi​

Okumu is credited as the one responsible for convincing the Zulu leader, Mangosuthu Buthelezi, to drop his demands for an independent Zulu nation and take part in South Africa's democratic elections in 1994. This was after a team of international mediators, whom Okumu had accompanied as special adviser, had tried and failed to convince Buthelezi.[5] This is said to have helped the country avoid bloodshed and conduct peaceful elections.[6]

download (14).jpeg




download (10).jpeg

download (13).jpeg

download (11).jpeg
 
Huyu Mongusuthu Buthelezi wetu anataka tume huru ya uchaguzi kabla ya katiba mpya, tunajiuliza tume itakuwaje huru wakati inateuliwa na Rais aliye madarakani kwa mamlaka yake kikatiba.
 
Watu wamepambana tangu msituni,wakafungwa jera,harafu unatuambia mkenya ndio aliwezesha uchaguzi kufsnyika?inawezekana alishiriki kwenye mchakato,spanner,bolt and nuts,inawezekana alikuwa mlinzi,mesenja,lakini big players walikuwepo wenyeji.acha swaga
 
Tony254 Jaluo ni akili nyingi sana, hongera kwa Professor Okumu.
Haijakuwa proven scientifically lakini naunga mkono kauli yako kwamba wajaluo wana akili sana. Ni kweli. Yaani wanapenda masomo sana. Sasa kama huyu professor Mkenya aliyepatanisha Nelson Mandela na Buthelezi waliokuwa wanazozana, alikuwa ni classmate ya baba ya Barack Obama. Yaani baba ya Barack Obama na huyu jamaa walisoma ndani ya darasa moja huko siaya na baadaye wote walisomea Harvard University. Ogopa sana, hakuna mchezo hapa.
 
Haijakuwa proven scientifically lakini naunga mkono kauli yako kwamba wajaluo wana akili sana. Ni kweli. Yaani wanapenda masomo sana. Sasa kama huyu professor Mkenya aliyepatanisha Nelson Mandela na Buthelezi waliokuwa wanazozana, alikuwa ni classmate ya baba ya Barack Obama. Yaani baba ya Barack Obama na huyu jamaa walisoma ndani ya darasa moja na wote walisomea Harvard University. Ogopa sana, hakuna mchezo hapa.
Nimeona hiyo Wajaluo wanathamini sana elimi na wana akili sana. Pamoja na Wazungu kujitahidi kumshusha Obama but his brain was too much for their games.
 
Back
Top Bottom