Midazolam
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 807
- 1,340
Katiba yao inakataza,Kweli kabisa,kule wanambembeleza,inatakiwa wafanye mbinu zozote mpaka jamaa aseme yeye ni wawapi.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba yao inakataza,Kweli kabisa,kule wanambembeleza,inatakiwa wafanye mbinu zozote mpaka jamaa aseme yeye ni wawapi.
nimekumbuka mbali sana,Ontario
Aisee Kama ni hivyo basi ndio maana inakuwa ni ngumu jamaa kuonyesha ushirikiano.
Korodan sio?Uyo jamaa hana pumbu,na kama anazo kwanini wasizitumie kupata wasifu wake?
Ndo maana jamaa wa Arusha kakimbilia huko. Kula na kulala unabembelezwaKule kweli ulaya...