Mfahamu muigizaji Kajol

Movie alizocheza na SRK duuh ukicheck SRK alikua anakula vitamu sasa anakula kwa macho tu kweli πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€ͺ
aah shorkahn mjanja, maana kamla kipindi bibie yuko mnatoni
cheki bazigaru, kuna sehem anamshika shika maungo wazi, nikicheki tena lazima nidise, natamani niwe shorkani pale
 
aah shorkahn mjanja, maana kamla kipindi bibie yuko mnatoni
cheki bazigaru, kuna sehem anamshika shika maungo wazi, nikicheki tena lazima nidise, natamai niwe shorkani pale
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€ͺ Unatamani SRK akupishe uwe wewe ndio unamshikashika mtoto Kajol
 
daaah, noma sana, macho yake yale, kama paka, mie hoi
kuna mwingine yuko ile movie ya akshei, sunnil na jalwa
pale wanaimba alaf kuna mvua, akshei anamlamba lamba bi dada kwenye kifua kinene

MODS msifute
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kwa hio Mzee hapo ukatamani uzame kwenye TV
 
πŸ˜…πŸ˜…Jamaa kapitia mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…