Mfahamu muigizaji Kajol

Mfahamu muigizaji Kajol

Kuna msanii mmoja wa India alikuwa anaitwa Govinder hahaaaaaa
Alicheza ktk movie ya Yaya akiwa na adui mmoja hivi anakula mikaranga muda wote. Sasa kipindi hicho uko vidudu au primary std 1 au 2. Halafu wenzako wajue bado hujaenda jando. Hahaha kazi unayo unabatizwa hilo jina utaitwa kuanzia shuleni hadi kanisani
Hahaaaaaa
 
Kuna jamaa pale magomeni, tumekua naye ktk makuzi yetu. Yeye ndiye aliyekuwa reference yetu ya movie za kihindi. Yeye mpka akawa anaweza kusikia kihindi kabisaa.
 
Hapana ..
Alinyang'anywa Karishma Kapoor na Salman Khan...baadae Salman akampiga chini Karishma akaenda beba Aishwarya Rai... Aishwarya Rai nae akampiga chini Salman akaenda chukuliwa na jamaa underground alikuwa anaitwa Oberoi something baadae akampiga chini huyo Oberei akaja olewa na mtoto wa Amitabh Bachan....

Aishwarya ni kahaba tu, hana tofauti na wale wa Bongo movie. alikua yupo kwenye kurukia fursa tu.
 
Back
Top Bottom