ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,891
- 13,750
Mhhhh[emoji17][emoji17]Katika hao wengi nami nimo. Tena movie zake ndio sizipendi kabisa. Zile anapiga risasi huku gari inapinduka na haumii. Atleast ile ishq alikua na juhi chawla na kajol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh[emoji17][emoji17]Katika hao wengi nami nimo. Tena movie zake ndio sizipendi kabisa. Zile anapiga risasi huku gari inapinduka na haumii. Atleast ile ishq alikua na juhi chawla na kajol
😂😂😂😂😂😂😂😂Bila shaka wewe ni Juma Khani au Chikongwe
Ajay ni mshamba ndomaana Kajol akiwa karibu na Shahrukh anaenjoy sanaNiliona tiktok wanamsema Ajay hamtreat vizuri kajol Yaan yupo kama hayupo
Ajay si alikuwa anagombea demu na sunny deol ,nilisikia eti walipigana kabisa .
Na demu alikuja kuolewa na sunny deol.
Yeye na sharukhan walipokutana kwenye set ya kuch kuch hota hai hawakupendana kabisa.Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India.
Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani Mukherjee ,mdogo wao anaitwa Tanisha Mukherjee.
Wazazi wao ni Tanuja Samarth(Mama) ambaye pia alikuwa muigizaji na Shomu Mukherjee (Baba) ambaye alikuwa mtayarishaji wa filamu.
Kajol aliolewa mwaka 1999 na muigizaji Ajay Devgan na wamebahatika kupata watoto wawili , wakike anaitwa Nysa Devgan aliyezaliwa mwaka 2003 na wa kiume anaitwa Yug Devgan aliyezaliwa mwaka 2010.
Ajay na Kajol ni miongoni mwa couple zenye faragha sana ,Yani ni wasiri sana kwenye mambo .
Filamu ya kwanza ya Kajol ilikuwa "𝘽𝙚𝙠𝙝𝙪𝙙𝙞" iliyotolewa mnamo 1992. Ingawa filamu hiyo haikufanikiwa sana, Lakini uigizaji wa Kajol uliwavutia watu walio katika tasnia ya filamu. Kajol amefanikiwa sana katika tasnia ya filamu ya India na ameendelea kuwa moja wa waigizaji wachache wa kike wa Bollywood ambao wameweza kujenga kazi ya mafanikio na kudumisha umaarufu kwa miongo kadhaa. Yeye ni maarufu kwa uigizaji wake wa kuvutia, kiburi chake, na utu wake wa kipekee.
𝙎𝙝𝙖𝙝 𝙍𝙪𝙠𝙝 𝙆𝙝𝙖𝙣 ndiyo muigizaji aliyefanya naye kazi zake nyingi maarufu na kubwa hivyo wamekuwa marafiki wakubwa sana.
Kajol ameshinda tuzo nyingi za filamu, ikiwa ni pamoja na Tuzo ya Filmfare. Baadhi ya filamu zake maarufu ni pamoja na "𝘽𝙖𝙖𝙯𝙞𝙜𝙖𝙧" (1993), "𝙔𝙚𝙝 𝘿𝙞𝙡𝙡𝙖𝙜𝙞" (1994), "𝙁𝙖𝙣𝙖𝙖" (2006), "𝘿𝙞𝙡𝙬𝙖𝙡𝙚 𝘿𝙪𝙡𝙝𝙖𝙣𝙞𝙖 𝙇𝙚 𝙅𝙖𝙮𝙚𝙣𝙜𝙚" (1995), "𝙂𝙪𝙥𝙩𝙖" (1997), "𝙃𝙖𝙢𝙚𝙨𝙝𝙖𝙖" (1997), "𝙆𝙪𝙘𝙝 𝙆𝙪𝙘𝙝 𝙃𝙤𝙩𝙖 𝙃𝙖𝙞" (1998), "𝘿𝙞𝙡 𝙆𝙮𝙖 𝙆𝙖𝙧𝙚" (1999), "𝙆𝙖𝙗𝙝𝙞 𝙆𝙝𝙪𝙨𝙝𝙞 𝙆𝙖𝙗𝙝𝙞𝙚 𝙂𝙝𝙖𝙢" (2001) 𝙣𝙖 "𝙒𝙚 𝘼𝙧𝙚 𝙁𝙖𝙢𝙞𝙡𝙮" (2010).
Kabla ya kuwa na Ajay Devgan, Kajol alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Akshay Kumar.
View attachment 2809564View attachment 2809565View attachment 2809566
Jamaa mbinafsi ndio maana aligombana na shar khanSunny deol mnyama kila movie anapiga yeye tu
Kuna jamaa anasema Rani aliingiza sauti yake binafsi ktk ile movie lakini wengine waliingiziwa sautiYeye na sharukhan walipokutana kwenye set ya kuch kuch hota hai hawakupendana kabisa.
Sharukhan aliuliza kwanini wamemleta binti anakelele na hawezi kunyamaza huku kajol akimwona sharukhan ni mwenye kiburi.
Ila mwisho wakatokea kuwa marafiki sana mpaka leo.
Halafu Rani ambaye aliingiza kama Tina alikuwa mdogo kweli sijui miaka 17 au 18 wakati huo.
😂😂😂😂😂😂😂ila kweli bhana Kajol mcharuko sanaYeye na sharukhan walipokutana kwenye set ya kuch kuch hota hai hawakupendana kabisa.
Sharukhan aliuliza kwanini wamemleta binti anakelele na hawezi kunyamaza huku kajol akimwona sharukhan ni mwenye kiburi.
Ila mwisho wakatokea kuwa marafiki sana mpaka leo.
Halafu Rani ambaye aliingiza kama Tina alikuwa mdogo kweli sijui miaka 17 au 18 wakati huo.
mshamba sanaJamaa mbinafsi ndio maana aligombana na shar khan
Sina hakika ila Rani alikuwa wa moto balaa. Aisee yule mtoto mzuri sanaKuna jamaa anasema Rani aliingiza sauti yake binafsi ktk ile movie lakini wengine waliingiziwa sauti
Amir Khan,Kajol na Juhi Chawla ndo waliipendezesha ile movie ya Ishq yule Ajay anafaa angekuwa anaigiza jambazi.Katika hao wengi nami nimo. Tena movie zake ndio sizipendi kabisa. Zile anapiga risasi huku gari inapinduka na haumii. Atleast ile ishq alikua na juhi chawla na kajol
😂😂😂😂😂😂😂Amir Khan,Kajol na Juhi Chawla ndo waliipendezesha ile movie ya Ishq yule Ajay anafaa angekuwa anaigiza jambazi.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwakweli😂😂😂😂😂 Aamir Khan anajua mpaka anajua tena.Amir Khan,Kajol na Juhi Chawla ndo waliipendezesha ile movie ya Ishq yule Ajay anafaa angekuwa anaigiza jambazi.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nimeisahau ila namuonaga Ajay anafanania kuziba pengo la Amrish Puri kwa kuigiza kama jambazi.Kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aamir Khan anajua mpaka anajua tena.
Umeshawahi ona movie Ajay ya Drishyam?
Ajabu ni kwamba Writer na director wa Kuch kuch bwana Karan Johar alikua bado chalii haswa kipindi hicho anaandika hii muvi. (26yrs) ila alitumia akili kama mtu wa 50yrsNafkir movie za kajol na SRK nimetazama zote. Kwakweli kipindi kile tunatazama Kuch Kuch hasa scene ya pale shuleni yule dogo anabiwa aeleze kuhusu mama yake aisee ilisikitisha sana.
Kipindi hicho tunaangalia movie kwenye mabanda ya sinema wale wa dj wa kutafsiri movie wanakwambia salman khan bishoo😂😂Anaitwa Vivek Oberoi ali act kama adui kwenye filamu ya Krrish 3 alikuwa anatumia jina la Kaal.
Salman Khan huwa ana bahati ya kupata mademu visu sana tatizo lake ana ubabe ubabe wa kijinga kwa mademu ndio maana wana mkimbia, pia kicheche sana.
Mpaka sasa Salman Khan hajaoa na hana mtoto, couple yake na Katrina Kaif ilikuwa inavutia sana ila alizingua demu akasepa.
Wanasema mzee Amitabh Bachchan alihusika sana kumshawishi Aishwarya kuolewa na mtoto wake AbishekSalma Khan alipokuwa na Aishwarya Rai alitulia na alikuwa tayari kuoa kabisa ....sema Tu Yule demu alimuona "keshazeeka" Hana maajabu...ndo akahamia Kwa Vivek Oberoi kabla hajambwaga akaenda kuolewa na Abishek Bachan.....Katrina alikuwa kama anajaribu ziba Pengo la Aishwarya lakini hakuweza....bado anaumia kumkosa Aishwarya Rai
Aliwahi sema role model wake ni huyo Amrish Puri ,ameiba vitu kadhaa kutoka kwake.Nimeisahau ila namuonaga Ajay anafanania kuziba pengo la Amrish Puri kwa kuigiza kama jambazi.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app