Mfahamu muigizaji Kajol

Mfahamu muigizaji Kajol

Ajay Devgan alipigwa kibuti na muigizaji mwingine wa kike maarufu Sana ndo akaenda kumuoa Kajol kama kutafuta huruma...haikutegemewa wange last...
Wanavyosema Ajay hana muonekano mzuri kitu ambacho kina athiri sio tu mapenzi bali mpaka kazi zake.

Licha ya uwezo mkubwa wa uigizaji alionao anachukuliwa poa kutokana hana muonekano mzuri.
 
Wanavyosema Ajay hana muonekano mzuri kitu ambacho kina athiri sio tu mapenzi bali mpaka kazi zake.

Licha ya uwezo mkubwa wa uigizaji alionao anachukuliwa poa kutokana hana muonekano mzuri.
Sidhani..
Nafikiri kinacho mcost hatoki familia maarufu za waigizaji...
Angekuwa anaitwa Ajay Khan au Ajay Kapoor. Au Ajay Kumar...basi wala asingesemwa hivyo
 
Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India.

Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani Mukherjee ,mdogo wao anaitwa Tanisha Mukherjee.

Wazazi wao ni Tanuja Samarth(Mama) ambaye pia alikuwa muigizaji na Shomu Mukherjee (Baba) ambaye alikuwa mtayarishaji wa filamu.

Kajol aliolewa mwaka 1999 na muigizaji Ajay Devgan na wamebahatika kupata watoto wawili , wakike anaitwa Nysa Devgan aliyezaliwa mwaka 2003 na wa kiume anaitwa Yug Devgan aliyezaliwa mwaka 2010.

Ajay na Kajol ni miongoni mwa couple zenye faragha sana ,Yani ni wasiri sana kwenye mambo .

Filamu ya kwanza ya Kajol ilikuwa "𝘽𝙚𝙠𝙝𝙪𝙙𝙞" iliyotolewa mnamo 1992. Ingawa filamu hiyo haikufanikiwa sana, Lakini uigizaji wa Kajol uliwavutia watu walio katika tasnia ya filamu. Kajol amefanikiwa sana katika tasnia ya filamu ya India na ameendelea kuwa moja wa waigizaji wachache wa kike wa Bollywood ambao wameweza kujenga kazi ya mafanikio na kudumisha umaarufu kwa miongo kadhaa. Yeye ni maarufu kwa uigizaji wake wa kuvutia, kiburi chake, na utu wake wa kipekee.

𝙎𝙝𝙖𝙝 𝙍𝙪𝙠𝙝 𝙆𝙝𝙖𝙣 ndiyo muigizaji aliyefanya naye kazi zake nyingi maarufu na kubwa hivyo wamekuwa marafiki wakubwa sana.

Kajol ameshinda tuzo nyingi za filamu, ikiwa ni pamoja na Tuzo ya Filmfare. Baadhi ya filamu zake maarufu ni pamoja na "𝘽𝙖𝙖𝙯𝙞𝙜𝙖𝙧" (1993), "𝙔𝙚𝙝 𝘿𝙞𝙡𝙡𝙖𝙜𝙞" (1994), "𝙁𝙖𝙣𝙖𝙖" (2006), "𝘿𝙞𝙡𝙬𝙖𝙡𝙚 𝘿𝙪𝙡𝙝𝙖𝙣𝙞𝙖 𝙇𝙚 𝙅𝙖𝙮𝙚𝙣𝙜𝙚" (1995), "𝙂𝙪𝙥𝙩𝙖" (1997), "𝙃𝙖𝙢𝙚𝙨𝙝𝙖𝙖" (1997), "𝙆𝙪𝙘𝙝 𝙆𝙪𝙘𝙝 𝙃𝙤𝙩𝙖 𝙃𝙖𝙞" (1998), "𝘿𝙞𝙡 𝙆𝙮𝙖 𝙆𝙖𝙧𝙚" (1999), "𝙆𝙖𝙗𝙝𝙞 𝙆𝙝𝙪𝙨𝙝𝙞 𝙆𝙖𝙗𝙝𝙞𝙚 𝙂𝙝𝙖𝙢" (2001) 𝙣𝙖 "𝙒𝙚 𝘼𝙧𝙚 𝙁𝙖𝙢𝙞𝙡𝙮" (2010).

Kabla ya kuwa na Ajay Devgan, Kajol alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Akshay Kumar.

View attachment 2809564View attachment 2809565View attachment 2809566
Huyu demu alifanya hadi nikataka kwenda india asee ni pisi kali kikuda.
 
Hapana ..
Alinyang'anywa Karishma Kapoor na Salman Khan...baadae Salman akampiga chini Karishma akaenda beba Aishwarya Rai... Aishwarya Rai nae akampiga chini Salman akaenda chukuliwa na jamaa underground alikuwa anaitwa Oberoi something baadae akampiga chini huyo Oberei akaja olewa na mtoto wa Amitabh Bachan....
Anaitwa Vivek Oberoi ali act kama adui kwenye filamu ya Krrish 3 alikuwa anatumia jina la Kaal.

Salman Khan huwa ana bahati ya kupata mademu visu sana tatizo lake ana ubabe ubabe wa kijinga kwa mademu ndio maana wana mkimbia, pia kicheche sana.

Mpaka sasa Salman Khan hajaoa na hana mtoto, couple yake na Katrina Kaif ilikuwa inavutia sana ila alizingua demu akasepa.
 
Back
Top Bottom