Mfahamu muigizaji Kajol

Yeye na sharukhan walipokutana kwenye set ya kuch kuch hota hai hawakupendana kabisa.
Sharukhan aliuliza kwanini wamemleta binti anakelele na hawezi kunyamaza huku kajol akimwona sharukhan ni mwenye kiburi.
Ila mwisho wakatokea kuwa marafiki sana mpaka leo.
Halafu Rani ambaye aliingiza kama Tina alikuwa mdogo kweli sijui miaka 17 au 18 wakati huo.
 
Kuna jamaa anasema Rani aliingiza sauti yake binafsi ktk ile movie lakini wengine waliingiziwa sauti
 
Nafkir movie za kajol na SRK nimetazama zote. Kwakweli kipindi kile tunatazama Kuch Kuch hasa scene ya pale shuleni yule dogo anabiwa aeleze kuhusu mama yake aisee ilisikitisha sana.
 
😂😂😂😂😂😂😂ila kweli bhana Kajol mcharuko sana
 
Katika hao wengi nami nimo. Tena movie zake ndio sizipendi kabisa. Zile anapiga risasi huku gari inapinduka na haumii. Atleast ile ishq alikua na juhi chawla na kajol
Amir Khan,Kajol na Juhi Chawla ndo waliipendezesha ile movie ya Ishq yule Ajay anafaa angekuwa anaigiza jambazi.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Nafkir movie za kajol na SRK nimetazama zote. Kwakweli kipindi kile tunatazama Kuch Kuch hasa scene ya pale shuleni yule dogo anabiwa aeleze kuhusu mama yake aisee ilisikitisha sana.
Ajabu ni kwamba Writer na director wa Kuch kuch bwana Karan Johar alikua bado chalii haswa kipindi hicho anaandika hii muvi. (26yrs) ila alitumia akili kama mtu wa 50yrs
 
Kipindi hicho tunaangalia movie kwenye mabanda ya sinema wale wa dj wa kutafsiri movie wanakwambia salman khan bishoo😂😂
 
Wanasema mzee Amitabh Bachchan alihusika sana kumshawishi Aishwarya kuolewa na mtoto wake Abishek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…