Mfahamu mungu dagon na kofia wanazo vaa mapadri wakatoliki

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Dagon ni jina la mungu katika hadithi za kale za Wafilisti. Anatajwa mara kadhaa katika Biblia, hasa katika kitabu cha 1 Samueli. Dagon alikuwa mungu wa kilimo na uzazi katika utamaduni wa Wafoinike na Wafilisti, na sanamu zake zilionekana kama mchanganyiko wa binadamu na samaki.
wdasafsd.jpg

Katika Biblia, Dagon anatajwa kwa mara ya kwanza katika 1 Samueli 5:2-7, ambapo sanduku la agano la Waisraeli lilichukuliwa na kupelekwa kwenye hekalu la Dagon huko Ashdodi. Asubuhi iliyofuata, sanamu ya Dagon ilipatikana imeanguka kifudifudi mbele ya sanduku la agano. Tukio hilo linarudiwa siku iliyofuata, ambapo sanamu ya Dagon ilipatikana tena imeanguka, lakini wakati huu kichwa chake na mikono yake vilikuwa vimekatika na kuwekwa kando.

Kofia inayozungumziwa mara nyingi ni mitre, ambayo ni kofia inayovaliwa na maaskofu na papa katika Kanisa Katoliki, na pia na baadhi ya viongozi wa makanisa mengine ya Kikristo. Mitre ina umbo la sehemu mbili zinazojitenga juu, ambazo zinaweza kufananishwa na kinywa kilichofunguliwa cha samaki.
mihBveG.jpg
 
View attachment 3025486

View attachment 3025488
halafu mtu anakomaa anafuata hiyo dini
mkuu hongera umetimiza wajibu wako wa kufundisha ukweli
Wasabato tulshawaonya sana hawa mabwana, sasa hivi wanatuona sisi ni maadaui
 
Dagoni ni aina ya uchawi wa kale watumiao watawala ili kutiisha watu nguvu hizi zilibebwa kwenye vitu mfano fimbo za watawala,mikia ya wanyama,kofia na mavazi ya wanyama kama chui,simba,nyoka nk.
Wapo watawala wakinyoosha tu kifimbo juu wote mnatulia na kumsikiliza yeye tu,wapo waliopunga juu mikia ya wanyama wote kimya.
 
Ilikua hivyo kuziingiza desturi na tamaduni za wapagani ili Ukristo uwezo kupenya na kukubaliwa na wapagani
Hakuna kitu kama hiko. Ukristo unajitegemea na utaendelea kujitegemea bila utegemezi wa kufanya vitu vya kipagani ili kuvutia wapagani.

Hiyo ni dhana potofu na ndio maana sasa mnajitahidi kufanya vitu vya hobyo makanisani ili kuvutia watunwa hovyo waingie makanisani. Leo makanisa huwezi tofautisha na mabar, maclub na madangulo kwani yale yanayofanywa na walevi na makahaba yanafanywa kanisani ili kwavutia hao walevi na makahaba.

Hilo ni kanisa mfu, kanisa la kweli ni lile lililojitenga na ulimwengu. Kanisa toka enzi lilijitenga na mila, tamaduni na taratibu za ulimwengu. Kanisa ni chombo huru nasi wajibu wetu sio kuungana na ulimwengu ili tuwavutie, wajibu wetu ni kuwapa habari njema nasi tukiwa kielelezo ili wavutiwe na namna tuishivyo na huo ndio uinjilisti na umisheni.
 
Kuna siri nyingi sana kwenye hizi dini mbili ukizijua utaacha kuabudu
Nifahamuvyo labda dini nyingine ila Ukristo hauna siri yoyote "zaidi ya ile Siri iliyofichwa kwa muda mrefu ambayo imefunuliwa sasa ambayo ni Kristo". Yeye ndiye ile Siri ambayo manabii wa kale walitamani kuiona maana walishuhudiwa na Roho Mtakatifu juu ya ujio wake ila hawakujua namna atakavyokuja. Hiyo ndio siri kuu iliyofunuliwa kwetu. Hiyo ndiyo "Neema iliyofunuliwa kwa watu wote".
 
Hakuna kitu kama hiko. Ukristo unajitegemea na utaendelea kujitegemea bila utegemezi wa kufanya vitu vya kipagani ili kuvutia wapagani.

Hiyo ni dhana potofu na ndio maana sasa mnajitahidi kufanya vitu vya hobyo makanisani ili kuvutia watunwa hovyo waingie makanisani. Leo makanisa huwezi tofautisha na mabar, maclub na madangulo kwani yale yanayofanywa na walevi na makahaba yanafanywa kanisani ili kwavutia hao walevi na makahaba.

Hilo ni kanisa mfu, kanisa la kweli ni lile lililojitenga na ulimwengu. Kanisa toka enzi lilijitenga na mila, tamaduni na taratibu za ulimwengu. Kanisa ni chombo huru nasi wajibu wetu sio kuungana na ulimwengu ili tuwavutie, wajibu wetu ni kuwapa habari njema nasi tukiwa kielelezo ili wavutiwe na namna tuishivyo na huo ndio uinjilisti na umisheni.
Wewe kariri kuwa ukristu ni biashara, maokoto kwa kwenda mbele.
 
Dagon ni jina la mungu katika hadithi za kale za Wafilisti. Anatajwa mara kadhaa katika Biblia, hasa katika kitabu cha 1 Samueli. Dagon alikuwa mungu wa kilimo na uzazi katika utamaduni wa Wafoinike na Wafilisti, na sanamu zake zilionekana kama mchanganyiko wa binadamu na samaki.
View attachment 3025486
Katika Biblia, Dagon anatajwa kwa mara ya kwanza katika 1 Samueli 5:2-7, ambapo sanduku la agano la Waisraeli lilichukuliwa na kupelekwa kwenye hekalu la Dagon huko Ashdodi. Asubuhi iliyofuata, sanamu ya Dagon ilipatikana imeanguka kifudifudi mbele ya sanduku la agano. Tukio hilo linarudiwa siku iliyofuata, ambapo sanamu ya Dagon ilipatikana tena imeanguka, lakini wakati huu kichwa chake na mikono yake vilikuwa vimekatika na kuwekwa kando.

Kofia inayozungumziwa mara nyingi ni mitre, ambayo ni kofia inayovaliwa na maaskofu na papa katika Kanisa Katoliki, na pia na baadhi ya viongozi wa makanisa mengine ya Kikristo. Mitre ina umbo la sehemu mbili zinazojitenga juu, ambazo zinaweza kufananishwa na kinywa kilichofunguliwa cha samaki.
View attachment 3025488
Hizi,mada huwa za kipuuzi tu, weka mada kuhusu, Artificial intelligence, kilimo cha kisasa,jinsi, ya, kupata kazi, ughaibuni,
Chombo cha china kutoka anga za mbali kimerudi na sample za mawe kutoka kwenye mwezi!! Sie, tupo tunajadili, kofia, ya, Padre, au, kati yq, Ismael na, isaka,nani,alitaka kutolewa sadaka!
Upuuzi,
 
Huyo dagon ndio hao dragon viumbe vya kale ambao ndio miungu ya sasa inayoabudiwa maendeo mengi ya asia ikiwemo China. Huyo ni yule nyoka wa kale ambaye ni Ibilisi na shetani adanganyaye mataifa.
 
hayo unayo taka anza serikali yako waamiwe ukweli ndio tutafika huko
 
Hizi,mada huwa za kipuuzi tu, weka mada kuhusu, Artificial intelligence, kilimo cha kisasa,jinsi, ya, kupata kazi, ughaibuni,
Chombo cha china kutoka anga za mbali kimerudi na sample za mawe kutoka kwenye mwezi!! Sie, tupo tunajadili, kofia, ya, Padre, au, kati yq, Ismael na, isaka,nani,alitaka kutolewa sadaka!
Upuuzi,
Usitupelekeshe na kutupangia la kufanya. JF sio jukwaa wala platform yako. Hayo mengine hujakatazwa kuweka. Weka wewe na endelea nayo si hatuyataki hayo tunayataka haya. Acha ujuaji, kuna jukwaa la Kilimo, teknolojia, mapenzi, michezo n.k nenda kaweke hizo mada huko.
 
Huyo dagon ndio hao dragon viumbe vya kale ambao ndio miungu ya sasa inayoabudiwa maendeo mengi ya asia ikiwemo China. Huyo ni yule nyoka wa kale ambaye ni Ibilisi na shetani adanganyaye mataifa.
hapana dragon ni kitu chingine ila wanatajwa kama majoka makubwa yenye utajiri na mali.hii mada niliongea tafuta kwenye uzi zangu
 
Back
Top Bottom