Mfahamu mungu dagon na kofia wanazo vaa mapadri wakatoliki

Mfahamu mungu dagon na kofia wanazo vaa mapadri wakatoliki

Hizi,mada huwa za kipuuzi tu, weka mada kuhusu, Artificial intelligence, kilimo cha kisasa,jinsi, ya, kupata kazi, ughaibuni,
Chombo cha china kutoka anga za mbali kimerudi na sample za mawe kutoka kwenye mwezi!! Sie, tupo tunajadili, kofia, ya, Padre, au, kati yq, Ismael na, isaka,nani,alitaka kutolewa sadaka!
Upuuzi,
Ni jambo la kawaida kwa mtu aliyeshiba, halafu akakosa kazi ya kufanya. Kwa vyovyote vile lazima aje tu na mada kama hii.
 
hata kipofu tu anaona ukengeufu wa hilo kanisa
Sasa kama hilo Kanisa lina ukengefu; wewe shida yako iko wapi? Si ubakie na imani yako! Kuna mtu alikuomba umtoe kwenye huo ukengefu? Au ndiyo ile tabia ya kuwashwa washwa na pilipili usiyoila?
 
Uzuri wa wakatoliki wenyewe sasa, jumamosi watakutana kwenye jumuiya zao ndogo ndogo watasali, jumapili wataenda kwenye parokia zao watahudhuria ibada, watakula mkate. Wakitoka hapo watarudi majumbani mwao, jioni wataenda kupiga kitimito na bia mbili tatu. Yanii hawana hata habari na kitu watu wanawasema kuhusu wao...
 
Wanayo habari Bwana ndio maana sasa wameanzisha charismatic Catholic na pia mapadri na masista wengi wanaasi na kuamua kuoa/kuolewa.
 
halafu mtu anakomaa anafuata hiyo dini
mkuu hongera umetimiza wajibu wako wa kufundisha ukweli
Wasabato tulshawaonya sana hawa mabwana, sasa hivi wanatuona sisi ni maadaui
Sasa Wasabato si ndio wamepotea kabisa?

Yani mwanamke awe founder wa dini halo mtasema kichwani mpo sawa?
 
Wanayo habari Bwana ndio maana sasa wameanzisha charismatic Catholic na pia mapadri na masista wengi wanaasi na kuamua kuoa/kuolewa.
Hivyo ni vyama vya kitume vipo siku zote kama wana maombi.

Nenda Saint Joseph kwenye nyumba ya kuabudu wanavuwa viatu kama msikitini.
 
Leta uthibitisho usio na mashaka
Hilo ni jambo kubwa sana ambalo linahitaji upekuzi ili kulifahamu na kulielewa, kama upo interested na upo open minded, naweza kukupa vitabu ukasoma kwa makini na kuujua ukweli.
 
Ona hapo wameambiwa kabisa
Binadamu wengi tunatawaliwa na hofu ya macho. Hofu ya watu watanionaje, ndugu zangu, baba na mama watanionaje, marafiki zangu watanionaje au wakwe zangu watanionaje.

Hii hofu ya kuogopa macho ya watu ndiyo inapelekea wengi sana kushindwa kufanya maamuzi magumu. Hata kama wanajua kanisa limejaa mafundisho ya uongo hawawezi kuondoka kwa kuogopa macho ya watu.

Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Ufunuo:
"Lakini waoga, na wasioamini na wachafu, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na wanaoabudu sanamu, pamoja na waongo wote, urithi wao upo katika lile ziwa linalowaka moto na kiberiti".
Ona hapo wameambiwa kabisa kuhusu kuabudu masanamu na hawashtuki kwenye makanisa ya kiroma kujaa sanamu
Ukiuliza utaambiwa hilo sanamu la Kristo au Mama Maria
 
Ila kuabudu Samaki ni bora kuliko Ng'ombe. Na kuabudu Ng'ombe ni bora kuliko Jiwe. Kwasababu uhahi wote umetokea baharini.
 
Back
Top Bottom