Mfahamu mungu dagon na kofia wanazo vaa mapadri wakatoliki

halafu mtu anakomaa anafuata hiyo dini
mkuu hongera umetimiza wajibu wako wa kufundisha ukweli
Wasabato tulshawaonya sana hawa mabwana, sasa hivi wanatuona sisi ni maadaui

Natumai kama unavyowaonya wenzio kuhusu ukatholiki bhasi unaweza kuijionya na kujiongoza mwenyewe katika kuiepuka dhambi. Maana imani bila matendo imekufa kwa hiyo ni muhimu kuitoa boriti yako kabla ya kukisoa vibanzi vya unaowakosoa
 
Pole mkuu naona nimekukwaza
 
Mkuu, wewe kama unazijua hizo mada weka hapa tusome. Mtoa mada ameandika chake. Shida yako iko wapi?
 
😂😂😂 Una hoja
 
Kanisa Katoliki ni kanisa la KIPAGANI. Kanisa hili lilijulikana kama kanisa la Rumi ambalo mafundisho yake na imani yake ni "upagani".

Lakini, baadaye katika karne ya 3 kanisa la Rumi likaanza kuchanganya mafundisho ya Ukristo na mafundisho ya upagani ambayo kwa pamoja yakazaa Kanisa Katoliki.

Ni kama mtu achukue maji safi na maji taka ya chooni achanganye pamoja kisha apate mchanganyiko na aseme hayo ni maji safi zaidi.

Yeyote atakaye kunywa mchanganyiko huo lazima atapata kipindupindu, ataharisha na mwishowe atakufa.

Ndicho ilichokifanya kanisa Katoliki. Ni mbinu ovu sana ya Shetani iliyotumika. Shetani ni mjanja sana. Kachanganya NENO la MUNGU na UONGO wa Ibilisi.

Watu wasiokuwa na akili za udadisi, maarifa na hekima, hawawezi kamwe kung'amua udanganyifu wa kanisa katoliki. Ingawa mambo mengi ya uongo na kipagani ndani ya kanisa hilo yapo wazi wazi.

Mwenye masikio na asikie!
 
Pole mkuu naona nimekukwaza
Huwa sipo emotionally invested kwenye discussions kama hizi kwa hiyo siwezi kukwazika kirahisi, ila nilikuwa naongea na wote ambao wanaona kuwa kwenye dhehebu flani ni gate pass ya kwenda mbinguni au la inawapa moral authority ya kuwakandia wengine kuliko wanavyomkandia shetani halisi. Ubaya zaidi unaweza kukuta wanatenda dhambi kikawaida kama watu wengine tu ila ikifikia kwenye dini, ghafla wanajigeuza malaika.

Imani bila matendo imekufa mkuu
 
Wakatoliki hawataki kusikia hayo kama vile wamefungwa akili,afu unakuta wengi wamesoma vizur tuh
Lakin wanashindwa kuisoma dini yao na kujua lipi zuri lipi la kishetani
 
hata zile sanamu wanazodai ni Yesu na mtoto na maria. ukweli ni kwamba hizo ni sanamu zilitumika kipgani long before Jesus
Zikaingizwa kanisani kwamba ni Maria kambeba Yesu mtoto
 
Ule moshi unaopaa juu wakati wa uchaguzi wa papa ni ishara gani. Ila msije na majibu ya kubahatisha. Nasikia hata makadinali hasa wa Kiafrika hawafahamu.
 
Hii binafsi niesha shuhudia kabisa na ni kweli kabisa sema kwa kipindi kile sikuwa na ufahamu
 
Wakatoliki hawataki kusikia hayo kama vile wamefungwa akili,afu unakuta wengi wamesoma vizur tuh
Lakin wanashindwa kuisoma dini yao na kujua lipi zuri lipi la kishetani
Binadamu wengi tunatawaliwa na hofu ya macho. Hofu ya watu watanionaje, ndugu zangu, baba na mama watanionaje, marafiki zangu watanionaje au wakwe zangu watanionaje.

Hii hofu ya kuogopa macho ya watu ndiyo inapelekea wengi sana kushindwa kufanya maamuzi magumu. Hata kama wanajua kanisa limejaa mafundisho ya uongo hawawezi kuondoka kwa kuogopa macho ya watu.

Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Ufunuo:
"Lakini waoga, na wasioamini na wachafu, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na wanaoabudu sanamu, pamoja na waongo wote, urithi wao upo katika lile ziwa linalowaka moto na kiberiti".
 
halafu mtu anakomaa anafuata hiyo dini
mkuu hongera umetimiza wajibu wako wa kufundisha ukweli
Wasabato tulshawaonya sana hawa mabwana, sasa hivi wanatuona sisi ni maadaui
Ningeshangaa sana kama nisingewaona watoto wa Ellen G White. Nyinyi na hao wenzenu mnahangaika kweli kupigana vita dhidi ya Kanisa Katoliki, lakini wapi! Kila siku mnaangukia tu pua.
 
Ningeshangaa sana kama nisingewaona watoto wa Ellen G White. Nyinyi na hao wenzenu mnahangaika kweli kupigana vita dhidi ya Kanisa Katoliki, lakini wapi! Kila siku mnaangukia tu pua.
hata kipofu tu anaona ukengeufu wa hilo kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…