Ni jambo la kawaida kwa mtu aliyeshiba, halafu akakosa kazi ya kufanya. Kwa vyovyote vile lazima aje tu na mada kama hii.Hizi,mada huwa za kipuuzi tu, weka mada kuhusu, Artificial intelligence, kilimo cha kisasa,jinsi, ya, kupata kazi, ughaibuni,
Chombo cha china kutoka anga za mbali kimerudi na sample za mawe kutoka kwenye mwezi!! Sie, tupo tunajadili, kofia, ya, Padre, au, kati yq, Ismael na, isaka,nani,alitaka kutolewa sadaka!
Upuuzi,
Sasa kama hilo Kanisa lina ukengefu; wewe shida yako iko wapi? Si ubakie na imani yako! Kuna mtu alikuomba umtoe kwenye huo ukengefu? Au ndiyo ile tabia ya kuwashwa washwa na pilipili usiyoila?hata kipofu tu anaona ukengeufu wa hilo kanisa
Wanayo habari Bwana ndio maana sasa wameanzisha charismatic Catholic na pia mapadri na masista wengi wanaasi na kuamua kuoa/kuolewa.Uzuri wa wakatoliki wenyewe sasa, jumamosi watakutana kwenye jumuiya zao ndogo ndogo watasali, jumapili wataenda kwenye parokia zao watahudhuria ibada, watakula mkate. Wakitoka hapo watarudi majumbani mwao, jioni wataenda kupiga kitimito na bia mbili tatu. Yanii hawana hata habari na kitu watu wanawasema kuhusu wao...
Sasa Wasabato si ndio wamepotea kabisa?halafu mtu anakomaa anafuata hiyo dini
mkuu hongera umetimiza wajibu wako wa kufundisha ukweli
Wasabato tulshawaonya sana hawa mabwana, sasa hivi wanatuona sisi ni maadaui
Hivyo ni vyama vya kitume vipo siku zote kama wana maombi.Wanayo habari Bwana ndio maana sasa wameanzisha charismatic Catholic na pia mapadri na masista wengi wanaasi na kuamua kuoa/kuolewa.
Leta uthibitisho usio na mashakaPagan fish god, a demon Lord.
Hakika Vatican ni nyumba ya shetani, japo wengi watapinga lakini huo ndio ukweli.
Hilo ni jambo kubwa sana ambalo linahitaji upekuzi ili kulifahamu na kulielewa, kama upo interested na upo open minded, naweza kukupa vitabu ukasoma kwa makini na kuujua ukweli.Leta uthibitisho usio na mashaka
Ona hapo wameambiwa kabisa kuhusu kuabudu masanamu na hawashtuki kwenye makanisa ya kiroma kujaa sanamuBinadamu wengi tunatawaliwa na hofu ya macho. Hofu ya watu watanionaje, ndugu zangu, baba na mama watanionaje, marafiki zangu watanionaje au wakwe zangu watanionaje.
Hii hofu ya kuogopa macho ya watu ndiyo inapelekea wengi sana kushindwa kufanya maamuzi magumu. Hata kama wanajua kanisa limejaa mafundisho ya uongo hawawezi kuondoka kwa kuogopa macho ya watu.
Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Ufunuo:
"Lakini waoga, na wasioamini na wachafu, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na wanaoabudu sanamu, pamoja na waongo wote, urithi wao upo katika lile ziwa linalowaka moto na kiberiti".
Ona hapo wameambiwa kabisa
Ona hapo wameambiwa kabisa kuhusu kuabudu masanamu na hawashtuki kwenye makanisa ya kiroma kujaa sanamu
Ukiuliza utaambiwa hilo sanamu la Kristo au Mama Maria