Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Na yule wa mwendokasi aliyegongwa tuseme uongo.hakiponaWazungu usiwaamini sana ni waongo
Hivi futi 30000 unazijua?ukitandaza ni km kumi,kutoka posta mpaka ubungoNa yule wa mwendokasi aliyegongwa tuseme uongo.hakipona
Sasa umeshaelezwa ulitaka nini ? Kutizama.sio kila jambo dunia ulifahamu ndio maana ukuwa mganga wa kienyeji wala mchungaji au mwanasayansi.Hivi futi 30000 unazijua?ukitandaza ni km kumi,kutoka posta mpaka ubungo
Hii ni chai ya wazungu
Narudia tena,wazungu wametudanganya vingi sana,usiwaamini kivile,rekodi zote za dunia wanataka ziwe zao.Sasa umeshaelezwa ulitaka nini ? Kutizama.sio kila jambo dunia ulifahamu ndio maana ukuwa mganga wa kienyeji wala mchungaji au mwanasayansi.
Mengine yanaitwa maajabu. Ushawai kuwa na urefu kama wa hashimu
Kashindane na wanaothibitisha wamesoma na kufundisha wanazuoni kuwa wewe ni mjuaji kuliko wao.Narudia tena,wazungu wametudanganya vingi sana,usiwaamini kivile
Narudia wazungu wana chai sana usiwaamini sana.Kashindane na wanaothibitisha wamesoma na kufundisha wanazuoni kuwa wewe ni mjuaji kuliko wao.View attachment 2527630
Eti wametudanganya ulivokuwa mjinga.kwa hiyo hizi app,kompyuta,kutibiwa,umeme na magari unatumia ukiwa unadanganywaNarudia tena,wazungu wametudanganya vingi sana,usiwaamini kivile,rekodi zote za dunia wanataka ziwe zao.
Una hoja unajiabisha tuNarudia wazungu wana chai sana usiwaamini sana.
Kuna mtu anaitwa cassanova mgoogle alitembea na wanawake 132 maishani mwake ila wamemuweka kwenye rekodi za womanizer,wakati mimi na umri huu nimeshafikisha 300+ na sijulikani .wazungu wana chai sanq
Ni Una Hoja au Huna Hoja?Una hoja unajiabisha tu
Hujafika 300+ emu nipasie hio tangawizi hapo,Narudia wazungu wana chai sana usiwaamini sana.
Kuna mtu anaitwa cassanova mgoogle alitembea na wanawake 132 maishani mwake ila wamemuweka kwenye rekodi za womanizer,wakati mimi na umri huu nimeshafikisha 300+ na sijulikani .wazungu wana chai sanq
ExactlyNi Una Hoja au Huna Hoja?
Siongelei technology naongelea hivi vistory vya rekodi,wanajipendelea sana ,si ajabu mnaamini ziwa victoria na mlima kilimanjaro waligundua waoEti wametudanganya ulivokuwa mjinga.kwa hiyo hizi app,kompyuta,kutibiwa,umeme na magari unatumia ukiwa unadanganywa
300+ unaona wengi?mwaka huu pekee nina 14 au 15 na uchumi wangu hauko stableHujafika 300+ emu nipasie hio tangawizi hapo,
Jifunze kuandika kwanzaUna hoja unajiabisha tu
Sawa mkuu wewe ni kiboko yao,300+ unaona wengi?mwaka huu pekee nina 14 au 15 na uchumi wangu hauko stable
HakikaMaili 6.31 sawa na urefu wa Km 10.1,haya kweli ni maajabu ya dunia...