The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Nitashangaa mkuu kama utasema kuna time unakaa chini na kujiuliza kwanini uchumi wako hauko stable mpaka sasa300+ unaona wengi?mwaka huu pekee nina 14 au 15 na uchumi wangu hauko stable
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitashangaa mkuu kama utasema kuna time unakaa chini na kujiuliza kwanini uchumi wako hauko stable mpaka sasa300+ unaona wengi?mwaka huu pekee nina 14 au 15 na uchumi wangu hauko stable
Kuna walevi wanashinda baa weekend nzima think about themNitashangaa mkuu kama utasema kuna time unakaa chini na kujiuliza kwanini uchumi wako hauko stable mpaka sasa
Haina haja ya yey kukaa chini kujiuliza ilhali inafahamika fika kuwa vita ya Ukraine dhidi ya urus imetikisa uchumi wa walio wengi dunianNitashangaa mkuu kama utasema kuna time unakaa chini na kujiuliza kwanini uchumi wako hauko stable mpaka sasa
Post yangu kwanini imekugusa sana?mara ya pili hii unanijibu.Kuna walevi wanashinda baa weekend nzima think about them
SawasawaHaina haja ya yey kukaa chini kujiuliza ilhali inafahamika fika kuwa vita ya Ukraine dhidi ya urus imetikisa uchumi wa walio wengi dunian
Alafu kumbuka chai ya wazungu hua haipoi haraka.Hivi futi 30000 unazijua?ukitandaza ni km kumi,kutoka posta mpaka ubungo
Hii ni chai ya wazungu