Post yangu kwanini imekugusa sana?mara ya pili hii unanijibu.
Hapo juu umenijibu mwisho ukanipa $hit kwamba mimi mjinga ila elewa sikuwa na lengo la kukuudhi nilikuwa najaribu kufanya research ya kujua kama mtu kuzini na wanawake tofauti tofauti anaweza kuwa anaamini ni nuksi au siyo nuksi.