troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Kwa kuwa ni wapelestina si sawa,ingekuwa waisraeli ndio kaonyesha hiyo hati ungekenua na kushabikia kama zuzu vile, patheticHio ni hati tu, hata jambazi anaweza kupora shamba na kuliuza kihuni
Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya miaka 100 waarabu wangerudi kwenye ardhi yao ya Mecca, Je waisreal wangewakatalia kwamba hio sio ardhi yao kwasababu wameishi miaka 100 na wana hati za ardhi walizouziwa na wagiriki ?