Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Ange kua na hizo pigo ange kua kesha zeeka mkuu, huyo ni gangster sema jamaa mpaka leo haajulikanagi kama ana mke au watoto, nisha chunguza hilo sijawahi PATA infoAsiingie tu kwenye ushoga. Wanamitindo wengi wa kiume wanabonyezwa kizenji
Sana jamaa ni mpole sana alafu anafanya pia KAZI rahisi kupiga picha watu pia ana mazoezi ukifatilia sana jamaa ni mfanya mazoezi mzuriJamaa nadhani ana life style nzuri
Kupiga miti Kuna Zeesha mkuuAnajutunza.
Hali vyakula ovyo, hapigi miti ovyo wala halewi pombe ovyo.
Wapiga picha wa huku wana vitambi tu!Sana jamaa ni mpole sana alafu anafanya pia KAZI rahisi kupiga picha watu pia ana mazoezi ukifatilia sana jamaa ni mfanya mazoezi mzuri
Ulichunguzia wapi kijana,masaa 24 ulikuwa ukishinda Lumumba ukipiga debe....!!!Ange kua na hizo pigo ange kua kesha zeeka mkuu, huyo ni gangster sema jamaa mpaka leo haajulikanagi kama ana mke au watoto, nisha chunguza hilo sijawahi PATA info
🤣 Mkuu siasa zisha kukaaa hahaaaa🤣🤣Ulichunguzia wapi kijana,masaa 24 ulikuwa ukishinda Lumumba ukipiga debe....!!!
Lumumba umetoka juzi tu kwenda kurekodi....!
🤣🙌🏾Wapiga picha wa huku wana vitambi tu!
Mim wewe sikusahau 😁😁🤣 Mkuu siasa zisha kukaaa hahaaaa🤣🤣
Huko ni kujitunza au kuishi kwa mateso? That's too much.Anajutunza.
Hali vyakula ovyo, hapigi miti ovyo wala halewi pombe ovyo.
Haya mkuu sawa, natumaini nawe si umeanza kufunga kula mkuu kumsindikiza lissu, au?Mim wewe sikusahau 😁😁
Kama umeuliza Google hapo sawa
Mkuu Kila kitu kina gharama zake huwezi kua mtu wa tungi ukajitunzaHuko ni kujitunza au kuishi kwa mateso? That's too much.
Ni sahihi japo umeangalia upande mmoja tu - tungi. Kataja vyakula, kupiga miti. Maisha ni balance of lifestyles.Mkuu Kila kitu kina gharama zake huwezi kua mtu wa tungi ukajitunza
Hapana alikataa hajawahi Fanya surgery wasinge mchukua kwenye Yale makampuniAtakuwa amefanya upasuaji wa uso 'facelift'
Haya sasa! Why should one do that? Ili iweje labda.Atakuwa amefanya upasuaji wa uso 'facelift'