Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #21
Nambie uwe mpiga miti sana huoni unapoteza nguvu nyingiNi sahihi japo umeangalia upande mmoja tu - tungi. Kataja vyakula, kupiga miti. Maisha ni balance of lifestyles.
Watu hawataki uzeee, wanaogopa kuitwa wachawiHaya sasa! Why should one do that? Ili iweje labda.
We jamaa weweeWatu hawataki uzeee, wanaogopa kuitwa wachawi
Uzee sio mzuri, ukiona unazeeka bora urudi kijijini, ukibaki hapo mjini, mimba zote na misiba itakayokuwa ikijitokeza, unasingiziwa wewe mzee.We jamaa wewee
Punguza ujinga angekua hapigi miti asingekua na hio 6 pack angekua na tumbo tumbo tu limejaa manii zisizofanyiwa kazi zimerudikana tu tumbonihapigi miti ovyo
Sasa mkuu six pack si result ya zoezi , miti inaingiaje hapo si Kila mwanandoa angekua na six packPunguza ujinga angekua hapigi miti asingekua na hio 6 pack angekua na tumbo tumbo tu limejaa manii zisizofanyiwa kazi zimerudikana tu tumboni
Teh! Uzee ni neema. Ni wachache wanajaliwa kuufikia uzee.Watu hawataki uzeee, wanaogopa kuitwa wachawi
Nimesema kupiga miti "ovyo"Kupiga miti Kuna Zeesha mkuu
Sawa mkuuNimesema kupiga miti "ovyo"
Ni kweli, kwa bahati mbaya macho yakiwa mekundu, kesi mbaya mbaya za mtaani unarushiwa wewe.Teh! Uzee ni neema. Ni wachache wanajaliwa kuufikia uzee.
kweliKupiga miti Kuna Zeesha mkuu