Umesema kweli kabisa kuna pair tano nazikumbuka sana, combination bora kabisa kuwahi kutokea kwenye miongo miwili ya soka 2000-2020.
1; Vidic na Rio Ferdinand man u
2;Gerald Pique na Carlos Puyor Barcelona
3;Ramos na Pepe R. Madrid.
4; Jonh Terry na David Luis Chelsea.
5;Vicent Company na Michael Richard
Man City
Micah richards aalikuwa ni right back alafu pear ya terry na carvalho ndio ilikuwa hatari