Mfahamu Nemanja Vidic

Mfahamu Nemanja Vidic

Umesema kweli kabisa kuna pair tano nazikumbuka sana, combination bora kabisa kuwahi kutokea kwenye miongo miwili ya soka 2000-2020.

1; Vidic na Rio Ferdinand man u

2;Gerald Pique na Carlos Puyor Barcelona

3;Ramos na Pepe R. Madrid.

4; Jonh Terry na David Luis Chelsea.

5;Vicent Company na Michael Richard
Man City

Micah richards aalikuwa ni right back alafu pear ya terry na carvalho ndio ilikuwa hatari
 
Franco Baresi and Paolo Maldini conceded just 23 goals at heart of AC Milan in 196 matches
1585768352096.png
 
Huyu mleta mada ni shabiki wa Ligi kuu ya England(EPL) na baadhi ya wachangiaji humu nao ni hivo hivo..nawasihi mpate reference kutoka ligi zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli kabisa kuna pair tano nazikumbuka sana, combination bora kabisa kuwahi kutokea kwenye miongo miwili ya soka 2000-2020.

1; Vidic na Rio Ferdinand man u

2;Gerald Pique na Carlos Puyor Barcelona

3;Ramos na Pepe R. Madrid.

4; Jonh Terry na David Luis Chelsea.

5;Vicent Company na Michael Richard
Man City

John na Ricardo Calvarho

Micah Richards Man City alikuwa anacheza beki wa kulia
 
Mabeki wa kati bora kabisa kuwahi kutokea mkuu.
Usiwasahau na wakina
Jonh Terry
Carlos Puyor
Pepe
Ramos
David Luis
Vicent Company
Vicent Colocheny( Kama sijalikosea jina lake) huyu alikuwa Newcastle United
Colo You're
Thiago silver
Fabio Canavarho
. Costacuta
Philipe mexes
Ivan Cordoba
Maretterazi
Nesta
Maldin
Zaneti
Walter samwel
Lucio


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom