Umesema kweli kabisa kuna pair tano nazikumbuka sana, combination bora kabisa kuwahi kutokea kwenye miongo miwili ya soka 2000-2020.
1; Vidic na Rio Ferdinand man u
2;Gerald Pique na Carlos Puyor Barcelona
3;Ramos na Pepe R. Madrid.
4; Jonh Terry na David Luis Chelsea.
5;Vicent Company na Michael Richard
Man City
masahihishoHapana kwa chelsea mkuu nakataa
Safu kali ya ulinz kuwahi kuiona pale chelsea ni hii
John terry Na Ricardo Carvalho
Ashley cole Na william Gallasa
Huo ni moto.
Umesema kweli kabisa kuna pair tano nazikumbuka sana, combination bora kabisa kuwahi kutokea kwenye miongo miwili ya soka 2000-2020.
1; Vidic na Rio Ferdinand man u
2;Gerald Pique na Carlos Puyor Barcelona
3;Ramos na Pepe R. Madrid.
4; Jonh Terry na David Luis Chelsea.
5;Vicent Company na Michael Richard
Man City
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa una shida wewe unatafuta ugomvi na watu wa arsenaneKuna ile beki moja kali sana ilikuwa Man U SAF akawauzia Arsenal kwa bei ya record ya Dunia ya kuitwa Silvester Mbona umeihau
Hujakatazwa kuleta wewe mkuuHuyu mleta mada ni shabiki wa Ligi kuu ya England(EPL) na baadhi ya wachangiaji humu nao ni hivo hivo..nawasihi mpate reference kutoka ligi zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
. CostacutaMabeki wa kati bora kabisa kuwahi kutokea mkuu.
Usiwasahau na wakina
Jonh Terry
Carlos Puyor
Pepe
Ramos
David Luis
Vicent Company
Vicent Colocheny( Kama sijalikosea jina lake) huyu alikuwa Newcastle United
Colo You're
Thiago silver
Fabio Canavarho