Mfahamu play boy

Mfahamu play boy

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Umewahi kusikia jina play boy mitaani ? Likitumika kumaanisha mwanaume muhuni ? Basi ni sahihi
Muanzilishi wa jina hili anaitwa Hugh Hefner ,huyu bwana alizaliwa april 9 1926 na kufa september 27 2017,

Jamaa anajulikana sana duniani wa kupiga picha na wabebez yani hapa le mutuz cha mtoto
Lakini tofauti na le mutuz ,huyu jamaa alilala na kila mwanamke aliyekua akipiga nae picha, tena bila condom

Ipo hivi, jamaa alimiliki jumba lililoitwa play boy mansion huko los angeles marekani
Katika jumba hilo aliishi na vibinti vya umri wa miaka 18 mpaka 20 hivi ambao mabinti hao walikua ni 15 (alibadili wote kila alipowachoka)

Jamaa alikua anafanya nao mapenzi mabinti wote kwa pamoja ambao aliwaita playmates
Na kila ijumaa asubuhi wakati wa kuchukua mishahara yao (dola 1000) kila mmoja ,aliwala
Iliwabidi wapange mstari kuingia chumbani kwake wakipeana dakika mbili kila mmoja za kufanya mapenzi na jamaa ndio wachukue mshahara

Jamaa hakuwaruhusu kutoka katika jumba la playboy wala kuwa na wapenzi

Alichagua mwanamke mmoja kati yao wa kulala nae kila siku (main girlfriend) ambaye mwisho wa mwaka alipewa gari aina ya porsche mpyaaa

Huyu bwana hakuwaruhusu kuzurula hovyo wabebez zake likua mkali sana

Usiku alikua na kitu kinaitwa bed room party ,warembo wote wanaingia chumbani kwake na kuvua nguo na kufanya mapenzi naye, wakati amempandia mmoja wengine wanashangilia , na kama upo period unaruhusiwa kuingia room ila usivue pajama sababu anaweza kukupandia pia

Na sometime alikua analala tu kitandani then mwanamke mwenyewe ndiye anamaliza kila kitu

Alikuwa na sebule 3 za kulia chakula na kila asubuhi anachagua nani akae wapi
Sebule ya kwanza anakaa yeye na warembo anawaotaka siku hiyo
Ya pili wanakaa wa kawaida
Ya tatu wasio kuwa na mvuto siku hiyo

Huyu mzee amewala sana mabinti ,pia alimiliki kampuni ya kutengeneza picha za ngono

Alikuwa na pesa mno, jumba lake aliliuza usd 100 million mwaka 2016 kwa sharti ukinunua basi umuache aishi humo mpaka kufa kwake

Ameacha watoto wawili na mke mmoja ambao hakua akiishi nao,alipenda kuishi na mabinti wadogo kufanya nao mapenzi

Jamaa ameanza tabia yake tokea miaka ya 60 enzi za kina marlin monroe ambapo alimiliki jarida la play boy magazine lililojaa picha za utupu za ma modo hao

Pia alimiliki ma casino na night clubs

Tabia yake akifika club alikua anawapanga watembo wake 15 kwenye red carpet na kupiga nao picha

29906170001_4930158338001_4930145823001-vs.jpg

ef052d73800b468cc2cdb2f6dfc2e79d02988aa6.jpg

d9bf575250e5c88db5a8f378a1ba32b37fecc1ae.jpg

74bc90857e33cefd14cb07e53ca640fdac857e61.jpg

5b85adba89517fe56783f15dc567faa9b89a9ba8.jpg
 
Yaani dola buku kwa wiki, duh yaani malaya wanapiga hela wachazaji wa Simba na Yanga?
Ndio mkuu. Na bado walitoroka wakawa wanalala na ma super star wa mbele kama vile aliyekuwa mume wa jlo
 
Fala alikua anakula makahaba tu...! Pamoja na kula warembo wote hao bila condom bado amekufa na watoto wa 2 tu
Inaonekana hakupenda watoto kabisa. Na alikua sahihi sababu angeacha watoto zaidi ya 100
 
Back
Top Bottom