Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #41
Anapenda sana wabebez .ila hawa wabebe nao wazuri mno aiseeOoh...cris kahaba la kiume!
Asee yule mbaba ni handsome sijapata ona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapenda sana wabebez .ila hawa wabebe nao wazuri mno aiseeOoh...cris kahaba la kiume!
Asee yule mbaba ni handsome sijapata ona
Hausiani na kufanya kinyume na maumbile.Inahusiana na mwanaume kutojishughulisha kwenye ile michezo pendwa halafu mwili upo active kuzalisha hormone za testosterone(zinazozalisha mbegu kwa wingi)Hivi tezi dume ni mwanaume akiwa anafanya kinyume na maumbile or?
Nachojua ki hkl ni kua umri unavokua mkubwa ndio hufanya prostate grand (tezi ) ipanuke iwe kubwa hivo kumfanya mtu akojoe kwa tabu na ashindwe kufanya mapenziInatokana na nini Luca?
Asante mkuuKwa ninavyojua mimi,tezi dune inatokana na kuongezeka kwa vichocheo vya hormone iitwayo testosterone,ikizidi inakuza prostate(tezi dume).Kwa wanaume ambao umri umesogwa kuanzia miaka 50 kuendelea,wanapata hii shida kwani vichocheo vya testosterone hormone vinakuwa kwa kasi na prostate gland inazidi kuongezeka size.So kama hauutumii wakati vizuri(means kufanya ile michezo kwa uwingi na uzuri zaidi ili kupunguza load ya testosterone na kupunguza isiongeze size ya prostate),uwezkano wa kupata tezi dume unakuwa obviously!!
hahaa labda ndio maana soka lilimtupa.inamaana hana mtotoKama ronaldo de lima yeye hafungi bao 6 kwa 6
Mashine ikisimama imesimama
Mmmh mi najuaga hivyo kweli tena!Nachojua ki hkl ni kua umri unavokua mkubwa ndio hufanya prostate grand (tezi ) ipanuke iwe kubwa hivo kumfanya mtu akojoe kwa tabu na ashindwe kufanya mapenzi
Ila hakuna sababu hasa ya tezi dume hata madaktari wanabuni tu.mara waseme ni kula mno nyama ya ng'ombe
Ila hiyo ya kula tigo nilisikia pia ina madhara fulani kwa mwanaume ila sikufatilia niluona tu humu jf
Mtoto sijajua. Ila niliona tu hiyo taarifa mitandaonihahaa labda ndio maana soka lilimtupa.inamaana hana mtoto
Sio hivo mkuuMmmh mi najuaga hivyo kweli tena!
Wanadai alitumia viagraMmmh! Hizo nguvu alizitoa wapi!!!
Oooh!! Hapo sawa.Wanadai alitumia viagra
Sahihi aiseeBongo vicheche tu hakunaga playboys wote wadangaji play boy lazima uwe na mtonyo hiyo moja kingine msingi kiuno OG!!!!!
Watu wamefanya yao duniani hapaDuuuh
Mkuu haujui alikufaje Shangaa unamkuta anaelekezwa kuingia peponi kwa heshiiima kweli .wewe unapelekwa kwa kipigo motoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]Halafu jamaa kama huyu niende nae kwenye moto sawa siku nikifa...
Hapa lazima ni appeal maana papuchi nilizokula mpaka sasa hazifiki 3 alafu nichomwe moto sawa na jamaa aliyekula pochi manyoya zote hizo
Huyu hàta church alikua haendiMkuu haujui alikufaje Shangaa unamkuta anaelekezwa kuingia peponi kwa heshiiima kweli .wewe unapelekwa kwa kipigo motoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapa ndo huwa namshangaa MunguNdio kafa na miak 90 na ,pia alikuwa mtumiaji mzuri wa viagra
Wenye dhambi vigumu sana kufa
Ndio hivo maybe hua anawapa chance ya kuishi muda mwingi ili watubuHapa ndo huwa namshangaa Mungu
Na ukute jamaa katubu na mtamkuta mbinguni