Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana aiseeeeSiku yake ya kuzaliwa mwaka katika sherehe 2008 warembo walikua uchi.yeye tu ndiye alivaa nguo
Unaeza kufa mara ya pili[emoji23] [emoji23]Mkuu haujui alikufaje Shangaa unamkuta anaelekezwa kuingia peponi kwa heshiiima kweli .wewe unapelekwa kwa kipigo motoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwani lazima uende church?Huyu hàta church alikua haendi
labda SGR ..dreamliner haitoshiPlay Ball 4 My Town....Jamaa Kadinya Sana anaweza akajaza SGR NA DRIMULAINA YA MAGU.
Hahaaaa hapo nagoma kwenda motoni mzee...Mkuu haujui alikufaje Shangaa unamkuta anaelekezwa kuingia peponi kwa heshiiima kweli .wewe unapelekwa kwa kipigo motoni [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Anaweza kumzidiHuyu sidhani kama anamfikia Casanova yule muitaliano
[emoji23]surePlay Ball 4 My Town....Jamaa Kadinya Sana anaweza akajaza SGR NA DRIMULAINA YA MAGU.
Mkuu kweli unaweza fika peponi bila kusali au kuswali ? Considering tunaambiwa mungu wetu ni mpenda sifaKwani lazima uende church?
Kuna watu wastarabu na church hawaendi!
Pesa mwanaharamu. Hata ukiwa na umeme hufiKama alikuwa anapiga nyama kwa nyama pasi na shaka hajapona umeme
Kwani nae anaongozwa na jiwe?Huyo atapata tabu sana
Basi tuendelee kufanya dhambi mkuu hakuna namnaaaNdio hivo maybe hua anawapa chance ya kuishi muda mwingi ili watubu