Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #81
Mno .biashara zake zilikua zinaingiza pesa na watoto analala nao. Ila bongo ukiishi hivi unakua masikini ghafla sijui kwaniniDuuh jamaa kala bata niaje !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno .biashara zake zilikua zinaingiza pesa na watoto analala nao. Ila bongo ukiishi hivi unakua masikini ghafla sijui kwaniniDuuh jamaa kala bata niaje !
Kapiga mno pesa kwenye hiko kipindiNilikuwa namuona kwenye kipindi chake playboy of the mansion
Mkuu angalia sana. Mademu wa bongo anakuendea kwa mganga[emoji23]Huyo ndio Mwanaume Fataki sasa,role model.
[emoji23] tabu tunaipata sisi tu.ila mimi ningekua na pesa ningehamia kenya tuKwani nae anaongozwa na jiwe?
[emoji23]sahihi ili tufikishe miaka 90Basi tuendelee kufanya dhambi mkuu hakuna namnaaa
Kazitendea haki papuchi na pia ni matumizi mazuri ya dusheKapiga mno pesa kwenye hiko kipindi
Vikosi vya mizinga hahahahhahaMno .biashara zake zilikua zinaingiza pesa na watoto analala nao. Ila bongo ukiishi hivi unakua masikini ghafla sijui kwanini
HahahaKazitendea haki papuchi na pia ni matumizi mazuri ya dushe
Mnoo hata jiwe japo simpend ila naye ana enjoy mno na kuna vitu nitamuigaDuh alienjoy sana
[emoji23] sikuizi kila mwanamke anapiga vizinga. Yani tusiwalaumu vi ben 10 kabisaVikosi vya mizinga hahahahhaha
Yeah enzi hizo, "The Playboy Mansion"hahaaa huyo mzee ni noma" mara ya kwanza kumjua" ilikuwaga 2010... kipindi chake kilikuwa kinarushwa" Live na B.E.T
naaaam " ndio ilivyokuwa yaitwa hivyo""... ilikuwa balaaa daaahhhh wanajianika hao vyupi nje nje"".... nilikuwa nachek ile na show ya wendy William..na ya kina kadarshians ndio ilikuwa inaanza anza kupata umaarufuYeah enzi hizo, "The Playboy Mansion"
Mimi mpaka leo hua naangalia keeping up with the kardashians . Namuelewa sana kendall jenner na khloenaaaam " ndio ilivyokuwa yaitwa hivyo""... ilikuwa balaaa daaahhhh wanajianika hao vyupi nje nje"".... nilikuwa nachek ile na show ya wendy William..na ya kina kadarshians ndio ilikuwa inaanza anza kupata umaarufu
kumbeee""!!! Mimi niliachaga Aisee"" sema Yule bimkubwa wao amevurugwa mnoooMimi mpaka leo hua naangalia keeping up with the kardashians . Namuelewa sana kendall jenner na khloe
Hahaha bi mkubwa sio poa yule, anajiachiaga mpaka na bikini[emoji23] na yule serengeti wakekumbeee""!!! Mimi niliachaga Aisee"" sema Yule bimkubwa wao amevurugwa mnooo
ndio hahaaa" hamna watu", mule"" daahhhHahaha bi mkubwa sio poa yule, anajiachiaga mpaka na bikini[emoji23] na yule serengeti wake
mwl. wangu wa biology alikuwa muongo sasa, maana alinifundisha kuwa prostate ni tezi inayotoa ule umajimaji wa kuteleza unaouona mwanaume wakati mnara umesimama kwa kiwango cha 4G na hivyo kwa kufanya sana ngono tezi dume linakuwa na kazi zaidi ya uwezo wake na hivyo linalazimika kupanuka zaidi ili kutoshereza mahitaji ya mtumiaji.....Kwa ninavyojua mimi,tezi dune inatokana na kuongezeka kwa vichocheo vya hormone iitwayo testosterone,ikizidi inakuza prostate(tezi dume).Kwa wanaume ambao umri umesogwa kuanzia miaka 50 kuendelea,wanapata hii shida kwani vichocheo vya testosterone hormone vinakuwa kwa kasi na prostate gland inazidi kuongezeka size.So kama hauutumii wakati vizuri(means kufanya ile michezo kwa uwingi na uzuri zaidi ili kupunguza load ya testosterone na kupunguza isiongeze size ya prostate),uwezkano wa kupata tezi dume unakuwa obviously!!