Mfahamu play boy

Mno .biashara zake zilikua zinaingiza pesa na watoto analala nao. Ila bongo ukiishi hivi unakua masikini ghafla sijui kwanini
jamaa alikuwa anapga mishe gan..
mbona mda mwng alikuwa anatumia kuspend sana na madem..
sangap alikuwa anaingiza fweza?
 
jamaa alikuwa anapga mishe gan..
mbona mda mwng alikuwa anatumia kuspend sana na madem..
sangap alikuwa anaingiza fweza?
Alikua anamiliki ma casino, gazeti za play boy, kutengeneza porn na miradi mingine mingi iliyokua chini ya kampuni yake ya play boy interprise

Alianza kuacha mambo ya job umri ulivosogea, hivyo akawa ana spend tu haendi kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tezi dume ni mwanaume akiwa anafanya kinyume na maumbile or?
Kwa hyo unamaanisha jk ..........
Hapana iko hivi tezi dume anapata mwanaume ambae umri umeenda mara nyingi ni kuanzia miaka 55 na kuendelea mpaka 60 na kuendelea ,japo si wote hupatwa na hali hii,vipi baba yako amesalimika?
 
Bongo vicheche tu hakunaga playboys wote wadangaji play boy lazima uwe na mtonyo hiyo moja kingine msingi kiuno OG!!!!!
Kuna jamaa mmoja alikuwa mtoto pekee kwa mama yake,halafu mama alikuwa nazo.Ebwana jamaa kaanza kuwagonga tokea akiwa darasa la nne.Huyu jamaa kwanza mpaka tunafika la saba robo tatu ya wasichana darasa letu aliwapitia,kishule ndiyo usiseme.Mjinga pamoja na home mambo safi lakini alikuwa Mchezaji mzuri wa mpira wa miguu.Ebwana jamaa akienda Interschool competition lazima aibuke mchezaji bora.Huyu mwamba yaani alikuwa kivuruge 2000_2010 nasikia saivi ameoa rasmi.Kuna demu mimi nilikuwa namfukuzia nikijua nimepata,siku moja nikaona jamaa katika stori zake sijui demu alimwambia na mie namtaka.Nilimvulia kofia huyu jamaa(jamaa kuna familia kadhaa alitembeza dushe Dada,Anti,nk).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…