Mfahamu Roy Benavides, mtu mwenye roho ngumu!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Huyu anaitwa Roy Benavides alikuwa Askari wa Jeshi la Marekani akiwa na cheo cha Staff Sajent, alizaliwa tarehe 05/06/1935 huko Texas, Marekani.

Baba yake Mzee Salvatory Benavides alifariki wakati akiwa na miaka miwili na mama yake aliolewa na mwanaume mwingine, lakini mama huyo aliyeitwa Teresa Perez alifariki kwa kifua kikuu miaka mitatu tu tangu kuolewa kwake na mwanaume huyo wa pili na kumuacha Roy Benavides akiwa na umri wa miaka mitano tu.

Roy Benavides alipelekwa shule na mjomba yake ambako hakufanya vizuri sana kutokana na utukutu na utundu wake akiwa shule. Hakuwa na uwezo darasani alipenda michezo na alikuwa mtundu sana na mtukutu.

Roy Benavides ana matukio mengi ya utukutu akiwa shule, lakini leo tuangalie tukio moja tu wakati akiwa vitani.
Roy Benavides baada ya kuajiriwa na Jeshi la Marekani na kuonesha uwezo mkubwa Jeshini, aliweza kuchaguliwa kwenda kupigania vita kadhaa katika nchi kadhaa lakini leo tuangalie alipokuwa nchini Vietnam.

Roy Benavides alipelekwa Vietnam kama Mshauri wa Jeshi la Vietnam Kusini, lakini vita ilipopamba moto alilazimika kuingia mstari wa mbele kupigania vita hivyo ambayo mwanzo ilianza kama utani ilikuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Vietnam kusini na Vietnam Kaskazini.

Roy Benavides alipata upofu wa muda baada ya macho yake kuviria damu, alipelekwa Hospitali kutibiwa na alipoona akaomba kurudishwa tena kwenye uwanja wa vita.

Roy Benavides alikamatwa tena akapigwa na kupata majeraha 37 akapelekwa hospitali na alipopona akaomba kurudi tena kwenye uwanja wa vita na aliporudi alikuwa katiri mno na uwezo wake vitani ulikuwa mkubwa sana.

Roy Benavides alikamatwa tena na Wavietnam alipigwa sana na kuchomwa kisu cha tumbo na utumbo ulitoka nje, madaktari wakathibitisha kama amekufa cha ajabu wakati anaingizwa kwenye mifuko ya Plastiki tayari kurudishwa nyumbani Marekani kwa ajili ya mazishi, aliweza kuinuka akamtemea mate Daktari na kumwambia,

“Mimi sijafa na wala sitakufa leo wala kesho, rudisha utumbo wangu ndani kisha nirudishe uwanja wa vita.”
Alifanyiwa upasuaji na kuurudisha utumbo ndani na alipopona akaomba kurudi tena Vietnam kwenye uwanja wa vita, na vita ilipomalizika yeye alikuwa ni miongoni mwa watu wa mwisho kurudi nyumbani.

Huyo ndiye Roy Benavides, mtu mwenye roho ngumu na chuki zaidi kwa Vietnam. Roy Benavides alifariki dunia tarehe 29/11/1998 akiwa na umri wa miaka 63 tu.

Huyo ndiye ROY BENAVIDES!
 
nimekuja fasta nikajua ni Roy Bukuku (RiP)
Buriani.
1665303477135.png
 
MFAHAMU ROY BENAVIDES MTU MWENYE ROHO NGUMU!

Huyu anaitwa ROY BENAVIDES alikuwa Askari wa Jeshi la Marekani akiwa na cheo cha STAFF SAJENT alizaliwa tarehe 05/06/1935 huko TEXAS MAREKANI.

Baba yake mzee SALVATORY BENAVIDES alifariki wakati akiwa na miaka miwili na mama yake aliolewa na mwanaume mwingine, lakini mama huyo aliyeitwa TERESA PEREZ alifariki kwa kifua kikuu miaka Mitatu tu tangu kuolewa kwake na mwanaume huyo wa pili. Na kumuacha ROY BENAVIDES akiwa na umri wa miaka mitano tu.

ROY BENAVIDES alipelekwa shule na mjomba yake ambako hakufanya vizuri sana kutokana na utukutu na utundu wake akiwa shule. Hakuwa na uwezo darasani alipenda michezo na alikuwa mtundu sana na mtukutu.

ROY BENAVIDES ana matukio mengi ya utukutu akiwa shule, lakini leo tuangalie tukio moja tu wakati akiwa vitani.
ROY BENAVIDES baada ya kuajiriwa na Jeshi la Marekani na kuonesha uwezo mkubwa Jeshini. Aliweza kuchaguliwa kwenda kupigania vita kadhaa katika nchi kadhaa lakini leo tuangalie alipokuwa nchini VIETNAM.

ROY BENAVIDES alipelekwa VIETNAM kama Mshauri wa Jeshi la VIETNAM kusini, lakini vita ilipopamba moto alilazimika kuingia mstari wa mbele kupigania vita hivyo ambayo mwanzo ilianza kama utani ilikuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe. VIETNAM kusini na VIETNAM Kaskazini.

ROY BENAVIDES alipata upofu wa muda baada ya macho yake kuviria damu, alipelekwa Hospitali kutibiwa na alipoona akaomba kurudishwa tena kwenye uwanja wa vita.

ROY BENAVIDES alikamatwa tena akapigwa na kupata majeraha 37 akapelekwa hospital na alipopona akaomba kurudi tena kwenye uwanja wa vita na aliporudi alikuwa katiri mno na uwezo wake vitani ulikuwa mkubwa sana.

ROY BENAVIDES alikamatwa tena na Wavietnam alipigwa sana na kuchomwa kisu cha tumbo na utumbo ulitoka nje, madaktari wakathibitisha kama amekufa cha ajabu wakati anaingizwa kwenye mifuko ya Plastiki tayari kurudishwa nyumbani Marekani kwa ajili ya Mazishi, aliweza kuinuka akamtemea mate Daktari na kumwambia:-

“mimi sijafa na wala sitakufa leo wala kesho, rudisha utumbo wangu ndani kisha nirudishe uwanja wa vita”
Alifanyiwa upasuaji na kuurudisha utumbo ndani na alipopona akaomba kurudi tena VIETNAM kwenye uwanja wa vita, na vita ilipomalizika yeye alikuwa ni miongoni mwa watu wa mwisho kurudi nyumbani.

Huyo ndiye ROY BENAVIDES mtu mwenye roho ngumu na chuki zaidi kwa VIETNAM, ROY BENAVIDES alifariki dunia tarehe 29/11/1998 akiwa na umri wa miaka 63 tu.

Huyo ndiye ROY BENAVIDES
jasiri mjinga. nothing to learn from him.
 
Somo kubwa ni moja, ili ufanikiwe kwenye mission yako yoyote pambana mpaka kieleweke. Ukipigwa mawe pambana, ukitupwa baharini, jiokoe, rudi kwenye pambano lako.

Mafanikio sio lazima yakupe utajiri, mafanikio ni kutimiza ndoto zako.
Mafanikio ni wewe kuliishi kusudi lako la wewe kuwepo duniani
 
Jinsi mtu anavyopitia maisha magumu ndio roho yake inazidi kuwa ngumu kama jiwe
 
Huyu anaitwa Roy Benavides alikuwa Askari wa Jeshi la Marekani akiwa na cheo cha Staff Sajent, alizaliwa tarehe 05/06/1935 huko Texas, Marekani.

Baba yake Mzee Salvatory Benavides alifariki wakati akiwa na miaka miwili na mama yake aliolewa na mwanaume mwingine, lakini mama huyo aliyeitwa Teresa Perez alifariki kwa kifua kikuu miaka mitatu tu tangu kuolewa kwake na mwanaume huyo wa pili na kumuacha Roy Benavides akiwa na umri wa miaka mitano tu.

Roy Benavides alipelekwa shule na mjomba yake ambako hakufanya vizuri sana kutokana na utukutu na utundu wake akiwa shule. Hakuwa na uwezo darasani alipenda michezo na alikuwa mtundu sana na mtukutu.

Roy Benavides ana matukio mengi ya utukutu akiwa shule, lakini leo tuangalie tukio moja tu wakati akiwa vitani.
Roy Benavides baada ya kuajiriwa na Jeshi la Marekani na kuonesha uwezo mkubwa Jeshini, aliweza kuchaguliwa kwenda kupigania vita kadhaa katika nchi kadhaa lakini leo tuangalie alipokuwa nchini Vietnam.

Roy Benavides alipelekwa Vietnam kama Mshauri wa Jeshi la Vietnam Kusini, lakini vita ilipopamba moto alilazimika kuingia mstari wa mbele kupigania vita hivyo ambayo mwanzo ilianza kama utani ilikuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Vietnam kusini na Vietnam Kaskazini.

Roy Benavides alipata upofu wa muda baada ya macho yake kuviria damu, alipelekwa Hospitali kutibiwa na alipoona akaomba kurudishwa tena kwenye uwanja wa vita.

Roy Benavides alikamatwa tena akapigwa na kupata majeraha 37 akapelekwa hospitali na alipopona akaomba kurudi tena kwenye uwanja wa vita na aliporudi alikuwa katiri mno na uwezo wake vitani ulikuwa mkubwa sana.

Roy Benavides alikamatwa tena na Wavietnam alipigwa sana na kuchomwa kisu cha tumbo na utumbo ulitoka nje, madaktari wakathibitisha kama amekufa cha ajabu wakati anaingizwa kwenye mifuko ya Plastiki tayari kurudishwa nyumbani Marekani kwa ajili ya mazishi, aliweza kuinuka akamtemea mate Daktari na kumwambia,

“Mimi sijafa na wala sitakufa leo wala kesho, rudisha utumbo wangu ndani kisha nirudishe uwanja wa vita.”
Alifanyiwa upasuaji na kuurudisha utumbo ndani na alipopona akaomba kurudi tena Vietnam kwenye uwanja wa vita, na vita ilipomalizika yeye alikuwa ni miongoni mwa watu wa mwisho kurudi nyumbani.

Huyo ndiye Roy Benavides, mtu mwenye roho ngumu na chuki zaidi kwa Vietnam. Roy Benavides alifariki dunia tarehe 29/11/1998 akiwa na umri wa miaka 63 tu.

Huyo ndiye ROY BENAVIDES!
wakati anaingizwa kwenye mifuko ya Plastiki tayari kurudishwa nyumbani Marekani kwa ajili ya mazishi, aliweza kuinuka akamtemea mate Daktari na kumwambia,

“Mimi sijafa na wala sitakufa leo wala kesho, rudisha utumbo wangu ndani kisha nirudishe uwanja wa vita.”[emoji3064]
 
Jamaa alikuwa mbishi sana aisee
 
Huyu anaitwa Roy Benavides alikuwa Askari wa Jeshi la Marekani akiwa na cheo cha Staff Sajent, alizaliwa tarehe 05/06/1935 huko Texas, Marekani.

Baba yake Mzee Salvatory Benavides alifariki wakati akiwa na miaka miwili na mama yake aliolewa na mwanaume mwingine, lakini mama huyo aliyeitwa Teresa Perez alifariki kwa kifua kikuu miaka mitatu tu tangu kuolewa kwake na mwanaume huyo wa pili na kumuacha Roy Benavides akiwa na umri wa miaka mitano tu.

Roy Benavides alipelekwa shule na mjomba yake ambako hakufanya vizuri sana kutokana na utukutu na utundu wake akiwa shule. Hakuwa na uwezo darasani alipenda michezo na alikuwa mtundu sana na mtukutu.

Roy Benavides ana matukio mengi ya utukutu akiwa shule, lakini leo tuangalie tukio moja tu wakati akiwa vitani.
Roy Benavides baada ya kuajiriwa na Jeshi la Marekani na kuonesha uwezo mkubwa Jeshini, aliweza kuchaguliwa kwenda kupigania vita kadhaa katika nchi kadhaa lakini leo tuangalie alipokuwa nchini Vietnam.

Roy Benavides alipelekwa Vietnam kama Mshauri wa Jeshi la Vietnam Kusini, lakini vita ilipopamba moto alilazimika kuingia mstari wa mbele kupigania vita hivyo ambayo mwanzo ilianza kama utani ilikuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Vietnam kusini na Vietnam Kaskazini.

Roy Benavides alipata upofu wa muda baada ya macho yake kuviria damu, alipelekwa Hospitali kutibiwa na alipoona akaomba kurudishwa tena kwenye uwanja wa vita.

Roy Benavides alikamatwa tena akapigwa na kupata majeraha 37 akapelekwa hospitali na alipopona akaomba kurudi tena kwenye uwanja wa vita na aliporudi alikuwa katiri mno na uwezo wake vitani ulikuwa mkubwa sana.

Roy Benavides alikamatwa tena na Wavietnam alipigwa sana na kuchomwa kisu cha tumbo na utumbo ulitoka nje, madaktari wakathibitisha kama amekufa cha ajabu wakati anaingizwa kwenye mifuko ya Plastiki tayari kurudishwa nyumbani Marekani kwa ajili ya mazishi, aliweza kuinuka akamtemea mate Daktari na kumwambia,

“Mimi sijafa na wala sitakufa leo wala kesho, rudisha utumbo wangu ndani kisha nirudishe uwanja wa vita.”
Alifanyiwa upasuaji na kuurudisha utumbo ndani na alipopona akaomba kurudi tena Vietnam kwenye uwanja wa vita, na vita ilipomalizika yeye alikuwa ni miongoni mwa watu wa mwisho kurudi nyumbani.

Huyo ndiye Roy Benavides, mtu mwenye roho ngumu na chuki zaidi kwa Vietnam. Roy Benavides alifariki dunia tarehe 29/11/1998 akiwa na umri wa miaka 63 tu.

Huyo ndiye ROY BENAVIDES!
mtu na nusu
 
Back
Top Bottom