Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba picha tumjue huyoo kiumbe tushawishike kumsikiliza...pia kama kuna mwenye nyimbo yake haiweke hapa
Kweli bint yuko vizuri sana.Ila mimi namkubali zaidi yule mwezie Hadija aliyeimba "maumivu niacheee".
Sasa ana huo wimbo wake mwingine anasema...
"Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma message,
Tena ukasema hutaki kuniona unaweza toa machozi,
Tukigombana tunaelewana na mwishowe tunapuuzia..
Hili limekaa halifaiii kunyamaziwa!"
Eeh bwana naupenda huu wimbo hadi basi.Kama Hadija unapita hapa kaa ukijua nifah anakupenda sana.
Jamani mwenye wimbo wa huyu ruby angeutupia hapa, naupenda kweli