Mfahamu Rubby, zao jipya la "THT "

Mfahamu Rubby, zao jipya la "THT "

Tunaomba picha tumjue huyoo kiumbe tushawishike kumsikiliza...pia kama kuna mwenye nyimbo yake haiweke hapa
 
dem ana saut nzur huyo ningekua mnyama hapa mjin ningemvua chupi
 
Kweli bint yuko vizuri sana.Ila mimi namkubali zaidi yule mwezie Hadija aliyeimba "maumivu niacheee".
Sasa ana huo wimbo wake mwingine anasema...
"Si ulisema mwenyewe nisipige simu wala kutuma message,
Tena ukasema hutaki kuniona unaweza toa machozi,
Tukigombana tunaelewana na mwishowe tunapuuzia..
Hili limekaa halifaiii kunyamaziwa!"
Eeh bwana naupenda huu wimbo hadi basi.Kama Hadija unapita hapa kaa ukijua nifah anakupenda sana.

Jamani Kadja hata mie namlove sn, ila hata ruby yupo vizuri, hebu tupia basi huo wimbo hapa
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwenye wimbo wa huyu ruby angeutupia hapa, naupenda kweli
 
sauti yake kama ya Recho, kwanzoni nilijua yeye
 
Jamani Kadja hata mie namlove sn, ila hata ruby yupo vizuri, hebu tupia basi huo wimbo hapa

Tayari umeshawekwa na SHIEKA.Bonyeza pale alipouliza HUYU? Hiyo ni link nenda katizame huko YouTube.
 
Last edited by a moderator:
Rubby,
Hadija,
V Money ,

Panapo uzima hope watafanya mapinduzi makubwa sana ,Mungu atupe Uzima tushuhudie mafanikio yao kina dada nao In Shaa Allah.
 
Back
Top Bottom