pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LolHongera kwake, Wanawake wa kitanzania hata kuteleza kwenye barafu hawawezi wenyewe wanateleza bar.
Nimejaribu kuongeza kanyama ila ukitaka kujua ya ziada bofya hapo kuna link ya Nation MediaLeta habari kamili.
Ni walevi kiasi hicho?Hongera kwake, Wanawake wa kitanzania hata kuteleza kwenye barafu hawawezi wenyewe wanateleza bar.
[emoji1][emoji1][emoji1]Hongera kwake, Wanawake wa kitanzania hata kuteleza kwenye barafu hawawezi wenyewe wanateleza bar.
Sana.Ni walevi kiasi hicho?
Nadhani kitu cha muhimu sana ni kwamba wengi hawana uoga wa kujaribu kwenye nyanja zote tu, sio michezo pekee yake.Wakenya mmebarikiwa kwenye michezo
Hata muziki tumeanza kupaa. Nakumbuka hapo nyuma hungepata wimbo wowote wa Kenya ukiwa na 5M views mle YouTube ila kwa sasa zipo nyingi tu.wakenya wameanza kuwasapoti wanamuziki wao.Bongofleva ikinyimwa kipaumbele Kenya ,muziki wa Kenya unaweza enda mbali sana.Nadhani kitu cha muhimu sana ni kwamba wengi hawana uoga wa kujaribu kwenye nyanja zote tu, sio michezo pekee yake.
Nadhani ukifananisha mtindo wa kuimba wa bongofleva na RnB utaelewa kwamba wabongo kwenye nyanja hiyo ya kuimba imba wamebobea sana. Ila mtindo wa kufoka kwenye hip hop na dancehall pia ambazo zinapendwa zaidi na wakenya ndio wanamziki wengi wa Kenya wanauelewa. Case in point mwendazake E-Sir. Naona Khaligraph Jones na wenzake wameanza kuturidisha kwenye enzi hizo na wakenya wakiendelea kuwapa wanamziki wao support. Jambo ambalo hawajalifanya kwa muda mrefu then the sky is the limit.Hata muziki tumeanza kupaa. Nakumbuka hapo nyuma hungepata wimbo wowote wa Kenya ukiwa na 5M views mle YouTube ila kwa sasa zipo nyingi tu.wakenya wameanza kuwasapoti wanamuziki wao.Bongofleva ikinyimwa kipaumbele Kenya ,muziki wa Kenya unaweza enda mbali sana.
Mtindo wa E-Sir kimziki ulikuwa wa kikenya kabisa. Unataka kufaninisha mziki wa Khaligraph na bongofleva?Kaligraph ni wamawaida sana huku, hata huyo marehemu E-sir ana asili ya bongo mana baba ake ni mchagga, no wonder alitoboa vizuri kwenye mziki huko
Wabongo husapoti wanamuziki wao kisa uzalendo. Huwezi pata nyimbo za Kenya huko kwao ilhali hapa Kenya nyimbo zao zinachezwa sana.Siupendi muziki wa kidunia lakini huwa natazama baadhi ya nyimbo ili kuwasapoti wanamuziki wetu. Msanii kama otile Brown ni mwimbaji mzuri sana .Napenda kuziangalia nyimbo zake. Pia shinski na sauti Sol.Nadhani ukifananisha mtindo wa kuimba wa bongofleva na RnB utaelewa kwamba wabongo kwenye nyanja hiyo ya kuimba imba wamebobea sana. Ila mtindo wa kufoka kwenye hip hop na dancehall pia ambazo zinapendwa zaidi na wakenya ndio wanamziki wengi wa Kenya wanauelewa. Case in point mwendazake E-Sir. Naona Khaligraph Jones na wenzake wameanza kuturidisha kwenye enzi hizo na wakenya wakiendelea kuwapa wanamziki wao support. Jambo ambalo hawajalifanya kwa muda mrefu then the sky is the limit.
Haleluya! Sema Amen! [emoji1] Mziki wa 'injili' ndio umechangia pakubwa kwa music industry kudorora huku Kenya. Kampuni kubwa Kenya, mfano mzuri ni Safaricom wamekuwa na mazoea ya kuwapa kandarasi za mamilioni ya KES hao wanamziki wa injili. Ili eti biashara zao ziwe na muonekano wa kuwa 'family friendly'. Huku wakiwapuuza wanamziki wa nyimbo za 'kidunia' wakati ni wazi kwamba wao ndio wana talanta zaidi ya hao ambao wanajiita wa mungu. Kwenye Tv, hivyo hivyo. Wanamziki wa injili Kenya wamekomalia kwa uceleb wa kipuuzi na kuimba jingles na hakuna injili wanaeneza. Wao ndio wapo kwenye mstari wa mbele ikifika kwa anasa, kukesha kwenye vilabu na kutumia madawa ya kulevya.Wabongo husapoti wanamuziki wao kisa uzalendo. Huwezi pata nyimbo za Kenya huko kwao ilhali hapa Kenya nyimbo zao zinachezwa sana.Siupendi muziki wa kidunia lakini huwa natazama baadhi ya nyimbo ili kuwasapoti wanamuziki wetu. Msanii kama otile Brown ni mwimbaji mzuri sana.
Hao ni wale wanaoimba gospel kwa lugha ya sheng'.Kunao wanaoeneza injili na kuimba nyimbo nzuri sana na wengi wao niwanawake. The likes of Mercy masika, Eunice Njeri Gloria among othersHaleluya! Sema Amen! [emoji1] Mziki wa 'injili' ndio umechangia pakubwa kwa music industry kudorora huku Kenya. Kampuni kubwa Kenya, mfano mzuri ni Safaricom wamekuwa na mazoea ya kuwapa kandarasi ya mamilioni ya KES hao wanamziki wa injili. Ili eti biashara zao ziwe na muonekano wa kuwa family friendly. Huku wakiwatelekeza wanamziki wa nyimbo za 'kidunia' wakati ni wazi kwamba wao ndio wana talanta zinazozidi kwa umbali za hao ambao wanajiita wa mungu. Kwenye Tv, hivyo hivyo. Wanamziki wa injili Kenya wamekomalia kwa uceleb wa kipuuzi na hakuna injili wanaeneza. Wao ndio wapo kwenye mstari wa mbele kwa anasa, kukesha kwenye vilabu na kutumia madawa ya kulevya.
Kweli kabisa, ila hao wanaoimba upuuzi wakitumia jina la mungu ndio huwa wanapigiwa promo kila uchao, kutoka asubuhi hadi jioni. Kwenye magazeti, matelevisheni, radio, kwenye roadshows na concerts za kampuni kama Safaricom na K.C.B. What happened to the good old days of cool, secular but educative music? How comes no one is listening to the beautiful Mayonde?Hao ni wale wanaoimba gospel kwa lugha ya sheng'.Kunao wanaoeneza injili na kuimba nyimbo nzuri sana na wengi wao niwanawake. The likes of Mercy masika, Eunice Njeri Gloria among others