Mfahamu Sabrina Wanjiku, Mkenya Ambaye Aliiwakilisha Nchi Yake Kwenye Mchezo Wa Alpine Skiing, Winter Olympics 2018 Kule Pyeongchang, S.Korea

Mfahamu Sabrina Wanjiku, Mkenya Ambaye Aliiwakilisha Nchi Yake Kwenye Mchezo Wa Alpine Skiing, Winter Olympics 2018 Kule Pyeongchang, S.Korea

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
1715040.jpg
https://www.nation.co.ke/lifestyle/...inter-Olympics/1214-4289210-n4qyex/index.html Sabrina Wanjiku, ama 'Snow Leopard' mwenye umri wa miaka 19, ndiye mwanamke mkenya wa kwanza kushiriki kwenye Winter Olympics. Mkenya wa kwanza alikuwa manager wake, Phillip Boit kwenye Winter Olympics 1998 kule Nagana, Japan. Miaka miwili kabla ya kushiriki kwenye Olympics Sabrina alishiriki kwenye Winter Youth Games, 2016/17. Baadaye mwaka uliopita akashiriki pia kwenye World Skiing Championship, St. Moritz na hapo ndipo alipofuzu kushiriki kwenye Winter Olympics 2018 na akapata ufadhili wa Ksh12M kutoka kwa KEB HanCard ya S.Korea.
D0AA2BD2-76A4-4FFC-92E8-E213637E745E-v0-h.jpg
sp-kenya-a-20180211-870x580.jpg
 
Kando na michezo huyu dada Sabrina Wanjiku, at just 19 years alikuwa appointed na U.N. kama U.N Enviroment First Mountain Hero. Charged with promoting enviromental issues in mountain regions such as climate change, waste and loss of biodiversity. https://www.unenvironment.org/news-...ne-skier-becomes-un-environment-mountain-hero Pia ana 'champion' juhudi za U.N. za kupiga vita biashara haramu ya wanyama pori chini ya 'Wild for Life Campaign'. Moja ya wanyama pori ambao anapigania walindwe ni Snow Leopard, jina ambalo huwa analitumia yeye kwenye mchezo wa skiing.
 
Nadhani kitu cha muhimu sana ni kwamba wengi hawana uoga wa kujaribu kwenye nyanja zote tu, sio michezo pekee yake.
Hata muziki tumeanza kupaa. Nakumbuka hapo nyuma hungepata wimbo wowote wa Kenya ukiwa na 5M views mle YouTube ila kwa sasa zipo nyingi tu.wakenya wameanza kuwasapoti wanamuziki wao.Bongofleva ikinyimwa kipaumbele Kenya ,muziki wa Kenya unaweza enda mbali sana.
 
Nadhani ukifananisha mtindo wa kuimba wa bongofleva na RnB utaelewa kwamba wabongo kwenye nyanja hiyo ya kuimba imba wamebobea sana. Ila mtindo wa kufoka kwenye hip hop na dancehall pia ambazo zinapendwa zaidi na wakenya ndio wanamziki wengi wa Kenya wanauelewa. Case in point mwendazake E-Sir. Naona Khaligraph Jones na wenzake wameanza kuturidisha kwenye enzi hizo na wakenya wakiendelea kuwapa wanamziki wao support. Jambo ambalo hawajalifanya kwa muda mrefu then the sky is the limit.
 
Kaligraph ni wamawaida sana huku, hata huyo marehemu E-sir ana asili ya bongo mana baba ake ni mchagga, no wonder alitoboa vizuri kwenye mziki huko
 
Kaligraph ni wamawaida sana huku, hata huyo marehemu E-sir ana asili ya bongo mana baba ake ni mchagga, no wonder alitoboa vizuri kwenye mziki huko
Mtindo wa E-Sir kimziki ulikuwa wa kikenya kabisa. Unataka kufaninisha mziki wa Khaligraph na bongofleva?
 
Nadhani ukifananisha mtindo wa kuimba wa bongofleva na RnB utaelewa kwamba wabongo kwenye nyanja hiyo ya kuimba imba wamebobea sana. Ila mtindo wa kufoka kwenye hip hop na dancehall pia ambazo zinapendwa zaidi na wakenya ndio wanamziki wengi wa Kenya wanauelewa. Case in point mwendazake E-Sir. Naona Khaligraph Jones na wenzake wameanza kuturidisha kwenye enzi hizo na wakenya wakiendelea kuwapa wanamziki wao support. Jambo ambalo hawajalifanya kwa muda mrefu then the sky is the limit.
Wabongo husapoti wanamuziki wao kisa uzalendo. Huwezi pata nyimbo za Kenya huko kwao ilhali hapa Kenya nyimbo zao zinachezwa sana.Siupendi muziki wa kidunia lakini huwa natazama baadhi ya nyimbo ili kuwasapoti wanamuziki wetu. Msanii kama otile Brown ni mwimbaji mzuri sana .Napenda kuziangalia nyimbo zake. Pia shinski na sauti Sol.
Sasa muziki wa injili umeupiku wa secular sababu wakenya hawasupport wasanii wao.
 
Wabongo husapoti wanamuziki wao kisa uzalendo. Huwezi pata nyimbo za Kenya huko kwao ilhali hapa Kenya nyimbo zao zinachezwa sana.Siupendi muziki wa kidunia lakini huwa natazama baadhi ya nyimbo ili kuwasapoti wanamuziki wetu. Msanii kama otile Brown ni mwimbaji mzuri sana.
Haleluya! Sema Amen! [emoji1] Mziki wa 'injili' ndio umechangia pakubwa kwa music industry kudorora huku Kenya. Kampuni kubwa Kenya, mfano mzuri ni Safaricom wamekuwa na mazoea ya kuwapa kandarasi za mamilioni ya KES hao wanamziki wa injili. Ili eti biashara zao ziwe na muonekano wa kuwa 'family friendly'. Huku wakiwapuuza wanamziki wa nyimbo za 'kidunia' wakati ni wazi kwamba wao ndio wana talanta zaidi ya hao ambao wanajiita wa mungu. Kwenye Tv, hivyo hivyo. Wanamziki wa injili Kenya wamekomalia kwa uceleb wa kipuuzi na kuimba jingles na hakuna injili wanaeneza. Wao ndio wapo kwenye mstari wa mbele ikifika kwa anasa, kukesha kwenye vilabu na kutumia madawa ya kulevya.
 
Haleluya! Sema Amen! [emoji1] Mziki wa 'injili' ndio umechangia pakubwa kwa music industry kudorora huku Kenya. Kampuni kubwa Kenya, mfano mzuri ni Safaricom wamekuwa na mazoea ya kuwapa kandarasi ya mamilioni ya KES hao wanamziki wa injili. Ili eti biashara zao ziwe na muonekano wa kuwa family friendly. Huku wakiwatelekeza wanamziki wa nyimbo za 'kidunia' wakati ni wazi kwamba wao ndio wana talanta zinazozidi kwa umbali za hao ambao wanajiita wa mungu. Kwenye Tv, hivyo hivyo. Wanamziki wa injili Kenya wamekomalia kwa uceleb wa kipuuzi na hakuna injili wanaeneza. Wao ndio wapo kwenye mstari wa mbele kwa anasa, kukesha kwenye vilabu na kutumia madawa ya kulevya.
Hao ni wale wanaoimba gospel kwa lugha ya sheng'.Kunao wanaoeneza injili na kuimba nyimbo nzuri sana na wengi wao niwanawake. The likes of Mercy masika, Eunice Njeri Gloria among others
 
Hao ni wale wanaoimba gospel kwa lugha ya sheng'.Kunao wanaoeneza injili na kuimba nyimbo nzuri sana na wengi wao niwanawake. The likes of Mercy masika, Eunice Njeri Gloria among others
Kweli kabisa, ila hao wanaoimba upuuzi wakitumia jina la mungu ndio huwa wanapigiwa promo kila uchao, kutoka asubuhi hadi jioni. Kwenye magazeti, matelevisheni, radio, kwenye roadshows na concerts za kampuni kama Safaricom na K.C.B. What happened to the good old days of cool, secular but educative music? How comes no one is listening to the beautiful Mayonde?
 
Back
Top Bottom