Tetesi: Mfahamu Salaah , danga jipya la Irene Uwoya

Sasa picha yake iko wapi Mzee baba.......tumuone huyo mtwasi mwenzetu
 
Hawa mabinti wa bongo muvi wana akili za kijasiriamali sana...huwa wanahakikisha wanakaa na Mtu ambaye hawezi kuanzishiwa ugomvi kwa ajili yao.

Sponsor akipaniki anaambiwa "loo na wewe..unakaonea wivu hata kale"

Ndio mbinu za kina Wolper, Shishi...ila nadhani Shishi ameshastaafu huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…