Tetesi: Mfahamu Salaah , danga jipya la Irene Uwoya

Mwacheni jamani Dogo janja alinde nyumba na kutumwa sana chips yai
 
Ila jamani huyu dogo janja anajitafutia ugonjwa wa moyo aje kufa bure siku si zake, sasa na yeye kwa akili zake kabisa akajua mwenyewe atamtuliza uwoya ? , namuonea huruma sana aiseeh

Uwoya sasa hvi yuko busy na danga lake jipya na tattuuu Kajichora, mtoto anapewa bata la nguvu , Mara Dubai , sasa hivi anazunguka tu kila sehemu anakula bata , dogo Janja naona anamlinda krish na nyumba

Kwanza huyo dogo janja anaishi kwenye nyumba ambayo mlipaji kodi ni salaa, yani haka katoto kalijiona kajanja kumpata uwoya , ngoja anyooshwe vizur kwanza
Kwahiyo TAJIRI MTATA Naye Kaingia kwenye chain ya MKONO WA NYANI aka DALLY KIMOKO?
 
😂😂😂😂😂mbavu zangu!!!! hizo comments
 
Itakua ni mzibuaji mzuri wa karo bwana Salaah. Mana dada yetu hawezi bila ya kuzibuliwa.
 
Kama mbunye ingekuwa inaongea basi ya IU ingesema mengi hata kugoma kufanya kazi..
 
Walikuwepo.... walipo ishiwa hata hatuwasikii tena......
 
Ila jamani huyu dogo janja anajitafutia ugonjwa wa moyo aje kufa bure siku si zake, sasa na yeye kwa akili zake kabisa akajua mwenyewe atamtuliza uwoya ? , namuonea huruma sana aiseeh

Uwoya sasa hvi yuko busy na danga lake jipya na tattuuu Kajichora, mtoto anapewa bata la nguvu , Mara Dubai , sasa hivi anazunguka tu kila sehemu anakula bata , dogo Janja naona anamlinda krish na nyumba

Kwanza huyo dogo janja anaishi kwenye nyumba ambayo mlipaji kodi ni salaa, yani haka katoto kalijiona kajanja kumpata uwoya , ngoja anyooshwe vizur kwanza
Tajiri Mtata kama SALAAH au mwingine?
 
Back
Top Bottom