Mfahamu Samia Suluhu Hassan; Maisha na Kazi

Mfahamu Samia Suluhu Hassan; Maisha na Kazi

Mbona hamsemi historian ya Job Ndugai?
 
naona mama na spika tarehe wamepishana siku 6 tu.lkn mwezi na mwaka sawa
 
Nani vilimtosha? Miaka 60 ya uhuru bado watu wanaishi maisha magumu sana. Uchumi hovyo, ajira za vijana hakuna, uhuru wa kweli na demokrasia ndiyo sahau kabisa. Nchi hii ilimshinda Nyerere na wote walioufatia. Ndiyo ukweli.
Kama kweli wote hao hakuna hata mmoja na bado wananchi wametulia na kuwashangilia, basi shida haiko kwa viongozi...wananchi mataahira!
 
Masters in bachelor of certificate in human development

[emoji23][emoji81][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi hii ni equivalent to degree?
Hii inasomwa na mtu ambaye amesoma kozi tofauti na kozi aliyo soma level ya degree.
Yaani degree amesoma kozi tofauti Harafu akataka kusoma tena kozi tofauti nje ya degree yake.
 
Back
Top Bottom