Mfahamu Samia Suluhu Hassan; Maisha na Kazi

Na mimi nimeandika stashahada siyo astashahada
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe kaomi kweli nilitegemea umujibu astashahada ndo kiwango gani ama?,we umejibu stashahada!
Au unajibu kisomi zaidi.
 
Kuna kitu hujakiweka sawa, je ana ndoa moja tu? Kazaa na mme mmoja tu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe kaomi kweli nilitegemea umujibu astashahada ndo kiwango gani ama?,we umejibu stashahada!
Au unajibu kisomi zaidi.
Astashahada kama Astashahada ni certificate ila Astashahada ya uzamili kama alivyo uliza hiyo hakuna kuna stashahada ya uzamili tu na nasi astashahada ya uzamili.
 
haya maisha MUNGU akiamua kuinua mtu, unainuliwa muda wowote na sekunde yoyote bila kutegemea mpaka mwenyewe unaanza kushangaa imekuaje.
Umesema vyema, achana na Mungu aiseee, kikubwa zaidi yeye Mungu hatabiriki.
 
Astashahada kama Astashahada ni certificate ila Astashahada ya uzamili kama alivyo uliza hiyo hakuna kuna stashahada ya uzamili tu na nasi astashahada ya uzamili.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Sema Mimi kupitia historia ya Mh.Rais nimejifunza kuto kata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…