Mfahamu Samia Suluhu Hassan; Maisha na Kazi

amezaliwa na nani?
 
CV imeiva!
 
Kumbe kweli ana Diploma tu
Kwenye uzi kuna sentesi haziko clear sana, ila kukudaidia tu Mheshimiwa Rais ana Advanced Diploma kutoka Mzumbe (wkt huo ikiitwa IDM mzumbe) ambapo Advanced Diploma ni equivalent to Bachelor Degree ndo manaa unaona Mheshimiwa aliweza hadi kufikia level ya Master Degree. Hivyo achenj kudharau Elimu ya Mama, she is well educated.
 
Hii nchi siyo ya Koo za akina kikwete na makamba,teuzi zinazunguka Koo hizo hizo tu,hivi mnaleta na kusimika tawala za Koo fulani kuwa Ni blessed Sana hapa nchini eti,mnaacha watu weledi was kuwatumikia watanzania mnakumbatia mijitu ya ovyo na watu wenye tuhuma za ufisadi was kutisha
 
Samia ninaemfahamu mimi:

Kwenye kampeni👇
Your browser is not able to display this video.
Baada ya kuingia Ikulu👇🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Asante sana kwa hii Cv ya Mh.

Basi nitaanza kumtambua kama Chief Hangaya.
 
Mambo ya machifu Tanzania hayatambuliki kisheria na yalifutwa kwa sheria ya bunge.Sikuwahi kusikia Nyerere,Mwinyi au Mkapa kupewa uchifu,haya mambo yalianza na kikwete aliyeitwa Chidikula chifu wa waluguru.
 
Huyu mama wanataka kutuaminisha kwamba aliibuka kutoka kusikojulikana na hakuzaliwa.Wazazi wake hawatakiwi popote.Ndugu zake hawatakiwi popote.Tuna rais asiyejulikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema Mimi kupitia historia ya Mh.Rais nimejifunza kuto kata tamaa
Kweli kabisa maana hata Fid Q alisema nyuma walio kata tama wange kaza wangetoboa
 
Ngoja aje asome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…