Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Last time niliisikia gwamaka Yuko states University of Florida alisoma na mtu Fulani pale mzumbe advance ninayefahamiana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ashamaliza. Kale kajamaa kalikuwa na kichwa fulani hivi adimu sana. Wakati wa likizo we unakomaa unapiga mapindi machimbo yote ya mjini, unaandika manotes kibao ye anapeleka tu kichwa pale Mapambano haandiki hata notes, akirudi nyumbani uliza movie gani mpya hajaiangalia ? Class akati we unakomaa na Chand wao yeye na jamaa yake mmoja anaitwa Nicky wanairekebisha Chand eti imekosea.
 
Sidhani Kama kufaulu mtihani ndio kipimo cha akili hasa kwa dunia hii....kufaulu mitihani Ni kujibu maswali ya mtihani husika kwa kiwango kinachoridhisha(kumbuka hats aliyepata C kafaulu)akili Ni kuweza kutumia maarifa, ujuzi, talanta/vipawa kutatua matatizo yanayoikumba jamii husika Na yeye binafsi.....na kuleta maendeleo stahiki......lol anafundisha tuition kwenye shule Na center mblmbl anafikiri div oneyake ndo anaitendea haki?
 
Erasmi nampata, yupo wapi saiv. Last time nilimuona udsm mwaka 2017 semester 1. Wakat jamaa yupo form 4 sie pale Bwiru tulikuwa form 2. Mpinzani wake alikuwa Lameck na Fadhilahi Abdul Msuya. Wakiwa kwenye t-shirt nyekundu. Akina Mussa Mabrouk sijui wako wapi? Mambuye? n.k
Lameck yupo Mwanza ni Civil Engineer, Fadhilay ni Md kamaliza Muhas, hao wengine sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kihombo awezi tembeza hesabu ya Erasmus enyasi..Huyo dogo erasm alikuwa kichwa wa hesabu tokea tukiwa nae primary school huko Kilimanjaro...alikuwa anapiga 100% hesabu primary.. Akatoka akaenda tosa



Sent using Jamii Forums mobile app
Erasmi Enyansi hakwenda Tosa alienda Bwiru Boys then Ilboru alipokuwa To 2013 ACSEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom