Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Uko sahihi kabisa! Lakini kwa nchi ya Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla huwa zina mtindo unaofanana wa kutoa orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani yao ya taifa.
 
Matusi ya nini jamani! Presha inapanda! Presha inashuka! Kuta za Babeli zinakwenda kuanguka meni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii fomu ya TSM9 huwa hapaswi kuiona mwanafunzi husika au mwajiriwa. Kwa sababu ya usiri wa maendeleo ya kitaaluma na wasifu wa mfanyakazi anapokuwa kazini.

Ikitokea mfanyakazi anafanya au amepata kazi nje ya mipaka yake ya kitaaluma, yaani nchi nyingine basi mwajiri wake atalazimika kufuatilia taarifa za mfanyakazi wake nchi alipotoka.

Nadhani hii inaelewaka kwa kila mtu aliyewahi kuajiriwa na sio kitu kigeni.
 
Uko sahihi kabisa! Lakini kwa nchi ya Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla huwa zina mtindo unaofanana wa kutoa orodha ya wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani yao ya taifa.

Na kuna hao maTO kama Kelvin Marambo yuko huko kamaliza kusoma Havard eti kachagua Bioengeering, sasa hii itasaidia nini kwetu
zaidi ya yeye anachanganya madawa tu laboratory kukamilisha project za wazungu, badala ya kuwa Doctor aje kuuokoa maisha ya mama na mtoto (maternal mortality rate)
Hata uTO kama huna akili jamii ni upuuzi mtupu.
 
Kila mtu na kipaumbele chake katika maisha, kwahiyo hayo pia ni maamuzi yake.
 
Ahaa! We jamaa unabishana na ukweli.
 
Kelvin Malambo hakuwahi kuwa T.O wala kuingia list ya ma To's ila alikuwa tu na uwezo darasani, alisoma Ilboru.
 
tuambie wewe Tanzanian one 2006 alikua Nani.
 
huyo jamaa Ana wivu wa kike hua anaumia Sana kuona mwanaume mwenzake anasifiwa, huyo ata akisikia demu wake anaimba nyimbo ya msanii roho inamuuma anatamani angekua msanii aimbwe yeye, wivu ugonjwa mbaya unaweza ukawa na maisha mazuri lakini unakonda tu.
 
Kila mtu na kipaumbele chake katika maisha, kwahiyo hayo pia ni maamuzi yake.
Wee jamaa TSM9 na kutangazwa kwa TO vinahusianaje????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani unatumiq nguvu kubwa kubisha alafu badala ya kubisha unasupport wanachosema wengine. Kutangazwa T.O tanzania imeanza kitambo sanaa yani sanaa sasa wewe unasema 2016 sijui umeitoa wapi??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ila Jamiiforums raha sana! Yamekuwa haya tena!
 
Wee jamaa TSM9 na kutangazwa kwa TO vinahusianaje????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TSM9 ni taarifa za kitaaluma za mwanafunzi husika, tangu chekechea mpaka chuo kikuu.

Chochote utakachokifanya kwenye maendeleo ya kitaaluma kinaorodheshwa kwenye hii fomu.

Hata zile barau za utovu wa nidhamu ambapo mwanafunzi huandika kipindi ambapo yupo shule au chuo kikuu zinaorodheshwa kwenye faili lako.

Kwa hiyo matokeo halisi ya wanafunzi husika yapo kwenye faili la kitaaluma, popote pale litakufuata.
Yanitumiqbwa kubisha alafu badala ya kubisha unasupport wanachosema wengine.
Kuwa makini!
Kutangazwa T.O tanzania imeanza kitambo sanaa yani sanaa sasa wewe unasema 2016 sijui umeitoa wapi??
Hmm! Hivi unaona jinsi matokeo ya wanafunzi bora yanavyotangazwa sasa hivi?

Leta matokeo ya wanafunzi bora ya kidato cha sita ya mwaka wa 2006 ampabo Elias Kihombo ameongoza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[SUB]Kaka kwamba unakataa mdau hakuwa T. O au ? [/SUB]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…