TSM9 ni taarifa za kitaaluma za mwanafunzi husika, tangu chekechea mpaka chuo kikuu.
Chochote utakachokifanya kwenye maendeleo ya kitaaluma kinaorodheshwa kwenye hii fomu.
Hata zile barau za utovu wa nidhamu ambapo mwanafunzi huandika kipindi ambapo yupo shule au chuo kikuu zinaorodheshwa kwenye faili lako.
Kwa hiyo matokeo halisi ya wanafunzi husika yapo kwenye faili la kitaaluma, popote pale litakufuata.
Kuwa makini!
Hmm! Hivi unaona matokeo ya wanafunzi bora yanavyotangazwa sasa hivi?
Leta matokeo ya wanafunzi bora ya kidato cha sita ya mwaka wa 2006 ampabo Elias Kihombo ameongoza 😂😂