Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

We jamaa muongo sana na unabisha uaicho kojuwa mi nimemaliza form 1V 2008 nakumbuka T.O wetu alikuwa mhagacha chacha na form six 2011 ila simkimbuki we inaonekana mbiishi tu na huelewi chochote
Sio kutaja taja majina tu, wekeni hizo orodha kama zipo!

Eti Mhagacha Chacha! Jina gani sijui! Hili jina halipo hata top 50 [ 50 bora]. Hizi orodha mnazitoa wapi?

Hivi unafahamu unachotakiwa kufanya? Sio kutaja majina! Ni kuweka orodha ya mwanafunzi bora hapa 😂😂
 
We jamaa muongo sana na unabisha uaicho kojuwa mi nimemaliza form 1V 2008 nakumbuka T.O wetu alikuwa mhagacha chacha na form six 2011 ila simkimbuki we inaonekana mbiishi tu na huelewi chochote
Tuwekee orodha ya wanafunzi bora hata ya hiyo miaka unayoitaja! Sio kusema TO wetu alikuwa nani sijui nani! Hopeless kabisa!
 
Mbona mnakimbia orodha ya 2006 kidato cha sita? Kuna nini kimejificha hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe fala ulisema hizi orodha zilianza kutolewa mwaka 2016 watu wamekuletea ya 2005 umeanza ufala mwingine upya

Unakazania lete orodha lete orodha wakati ushaletewa? We ni mjinga kiasi gani? Hata waha sio wabishi hvo.
 
Wewe fala ulisema hizi orodha zilianza kutolewa mwaka 2016 watu wamekuletea ya 2005 umeanza ufala mwingine upya

Unakazania lete orodha lete orodha wakati ushaletewa? We ni mjinga kiasi gani? Hata waha sio wabishi
hvo.
Naona bado unaendelea kukwepa kwepa! Nalog out sasa 😂😂
 
We jamaa muongo sana na unabisha uaicho kojuwa mi nimemaliza form 1V 2008 nakumbuka T.O wetu alikuwa mhagacha chacha na form six 2011 ila simkimbuki we inaonekana mbiishi tu na huelewi chochote
Eti Mhagacha Chacha! Sijui jina gani hili hata top 100 [100 bora] halipo labda alikuwa wa 5213 kitaifa 😂😂
 
Halafu hili jina linafanana kama la yule aliyekuwa waziri wa Sheria, PALAMAGAMBA KABUDI [emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa hamnazo kabisa cheki sasa eti kabudi alikuwa waziri wa madini we kweli upon sitimbi kwanza sita kujibu mana naona tunabishana na asiye jua lolote
 
Teh teh huenda amekuwa black balled na ana kiburi, sasa anakuwa engineer wa historia ya petroli.
Anaandika vitabu kwa kuchukua yale yale ya kina Abbot.
Afundishe hata chuo kikuu atusaidie.
Atatue matatizo magumu ya jamii...
Unless mwandishi umeandika sifa zake kwa kifupi.
 
Mara haipo, mara huwezi kuitoa hadharani

Maana yake unayo lakini huwezi kwa sababu ni nyaraka ya serikali

Hii bhange
 
Huyu mwanafunzi alisoma shule ya seminari kidato cha nne, sasa hivi anahangaika mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…