chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Engineer anafundisha??..... hii kweli tz ya vi-wonder.....poor utilization of scare resources
Aliye gundua umeme alionekana kichaa na aliyekuwa hana sambaza ndio alionekana bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engineer anafundisha??..... hii kweli tz ya vi-wonder.....poor utilization of scare resources
Na hii ndio ilitakiwa kufanyika tangu zamani ili kuondoa udanganyifu uliopo kwenye sekta ya Elimu.Watahiniwa 1,059 wafutiwa matokeo, wakosa nafasi kurudia
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limewafutia mitihani watahiniwa 1,059 kutoka shule 38 zilizofanya udanganyifu katika mitihani hiyo.
Herieth Makwetta, Mwananchi
hmakwetta@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam.
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limewafutia mitihani watahiniwa 1,059 kutoka shule 38 zilizofanya udanganyifu katika mitihani hiyo.
Akitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE) leo Jumamosi, Novemba 21, 2020 Katibu Mtendaji wa Necta Dk Charles Msonde amesema watahiniwa hao hawatapata nafasi nyingine ya kurudia matokeo hayo.
Msonde alisema pamoja na kamati ya mitihani kutimiza wajibu wao vizuri, kulijitokeza matukio machache ya udanganyifu wa mitihani katika baadhi ya shule nchini.
“Jumla ya shule 38 sawa na asilimia 0.22 ya shule zote za msingi 17,329 zilizofanya mitihani, zimebainika kufanya udanganyifu wa mitihani kwa namna mbalimbali. Watahiniwa 1,059 sawa na asilimia 0.1 ya wote 1,023,950 waliofanya mitihani walibainika kudanganya,” alisema Dk Msonde.
Msonde alisema shule hizo zilifanya makosa mbalimbali ikiwamo kuiba mitihani, kugawa majibu kwa wanafunzi na kubadilisha watahiniwa kwa kuwaweka wasio halisi kuwafanyia mitihani wanafunzi watoto.
Shule zilizobainika kufanya udanganyifu huo ni pamoja na shule za msingi za Ngiloli, Nguyami, Ibuti, Ihenje, Bwawani, Mogohigwa, Chakwale, Msingisi zilizopo Halmashauri ya Gairo.
Zingine ni Mafiri, Kibogoji, Ng’wambe, Digalama, Dihinda kutoka Halmashauri ya Mvomero na shule za msingi za Nyawa A iliyopo Halmashauri ya Bariadi vijijini (Simiyu).
Shule zingine ni za Halmashauri ya Chabutwa, Sikonge Tabora ikiwemo shule yawmsingi Chabutwa, shule ya msingi Usagari, Uyui Tabora shule ya msingi Siashimbwe iliyopo Moshi Kilimanjaro, Dominion Arusha, Matogoro ya Tandahimba Mtwara, Ng’arita Bariadi vijijini Simiyu, Olkitikiti Kiteto iliyopo Manyara na Nyamimina Buchosa Mwanza
Hali sio nzuri kabisa! Inabidi uwe makini tena makini sana.Isije ikawa na Mimi nahujumiwa na Hawa watu. Nitumie full stori inbox ili nami niwe aware na kinachoendelea Tz.
Na kuna uwezekano mkubwa kuwa hawa wanafunzi waliongoza kitaifa katika mitihani ya darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita huwa wanapotezwa [ ⚰️ ] kwa sababu wanazozijua wenyewe watawala na sio vyema kuelezea kila kitu hadharani.Aiseeee
Nimeanza kukuelewa Sana.Na kuna uwezekano mkubwa kuwa hawa wanafunzi waliongoza kitaifa katika mitihani ya darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita huwa wanapotezwa [ [emoji3545] ] kwa sababu wanazozijua watawala na sio vyema kuelezea kila kitu hadharani.
Apumzike kwa amani, ELIAS KIHOMBO!
Wakuue ili iweje sasa! Kwa madhumuni yapi haswa?Unaona mambo hayo sasa! Apumzike kwa amani!
Inabidi kuwa makini sana na kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima!
Maana kuna uwezekano mkubwa kwa wale wanafunzi waliongoza kitaifa kihalali kuwa na operesheni ya kuwapunguza [ [emoji3545] ]
Ndio maana mimi tangu niliporudi Tanzania nakufahamu kuhusu matokeo yangu halisi nimekuwa makini sana na hata kupunguza mikusanyiko isiyokuwa na lazima.
Hao watu wa Mara unaowazungumzia unamaanisha people from Mara region au umeamua kutumia code tu?nieleweshe pleaseHali sio nzuri kabisa! Inabidi uwe makini tena makini sana.
UNACHO KISEMA NI PROPAGANDA NA KUTOA SHUTUMA KWA HAYATI BABA WA TAIFA NA KWA MKOA WA MARA.Usinitishe wewe!
Hili ni Jukwaa Huru! Tupo hapa kuelimishana na sio vinginevyo!
Hivi kwani huwa hamuelewi jinsi wanasiasa wanavyotumia lugha sanifu na lugha ya kimuundo kuelezea taswira kamili ya Tanzania?
Kuna mwanasiasa fulani alishawahi kuwepo na sasa hivi ni marehemu, alifariki kwa ajali ya gari.
Alinukuliwa akisema hivi - "Paul Kagame amesambaza makachero wa kinyarwanda [ kitusi ] kila kona ya nchi ya Tanzania pamoja na ukanda huu wa maziwa makuu.
Jamii ya kitusi yaani watusi wamekuwa wakiendesha shughuli zote za kiuchumi na kushika nyanja zote ikiwemo Afya, Elimu, Dini, Siasa, Ulinzi na Biashara zote!"- mwisho wa kunukuu.
Sasa huyu Paul Kagame ni nani kwa upande wa Tanzania?
Na hawa watusi ni kina nani kwa upande wa Tanzania?
Mbona idadi yao hawafiki hata milioni mbili huko kwao Rwanda? Na imekuaje wametapakaa Tanzania nzima hawa watu wasiozidi milioni mbili?
Kwa wale waliowahi kufika Rwanda au hata kuishi Rwanda watafahamu kuwa yale yanayosemwa Tanzania kuhusu huyu Rais Paul Kagame ni tofauti kabisa na uhalisia.
Sema kwa utashi wa lugha ya kimuundo na kifasihi walichagua kumuelezea Paul Kagame kama ni muhanga kwa yale yanayofanyika Tanzania.
Sasa huyu Paul Kagame wa Tanzania ni nani? Na hawa kabila la watusi ni kina nani?
Huyu Paul Kagame sasa hivi ni Hayati [ ... ] na hawa watu wa kabila la watusi ni wakina Ramadhani, yaani ni wakina RAMA [ MARA ].
Huyu Hayati anaishi mpaka leo kutokana na mifumo aliyoiweka ndani ya chama tawala na serikali kwa ujumla.
Sio siri! Wametapakaa nchi nzima na wameshika sekta zote ikiwemo hii taasisi ya Elimu yaani NECTA.
Kwani huyu Paul Kagame wa Tanzania ilitawala Tanzania kwa miaka 24 na hata baada ya kung'atuka aliendelea kuwa na nguvu na ushawishi mpaka pale alipopatwa na mauti miaka ya 2000 kurudi nyuma mwaka mmoja.
Kwa hiyo madhara yaliyotokana na utawala wake yanaendelea kuwepo kwa makadilio ya miaka 30 baada ya umauti wake.
Yaani tunaweza kusema hivi, miiko na mambo aliyoyaasisi huyu Hayati yanaweza kukoma kuanzia mwaka 2030 na kuendelea kwa sababu tunaamini kuna wakina RAMA wengine aliwaacha serikalini mpaka leo wameendelea kushika nyadhifa kubwa serikalini ikijumuisha sekta nyeti na wengine wapo kwenye Baraza la Mawaziri mpaka leo.
Hawa wakina Ramadhani [ RAMA ] hawajitambulishi kwa makabila yao kwani itakuwa ni vyepesi kuwatambua ajenda yao iliyo sirini.
Kwa hiyo wanakuja kwa makabila tofauti, kwani zamani kubadilisha kabila ilikuwa ni kama kubadilisha dini hivi leo.
Na wengine walibadili hadi ubini yaani majina yao ya ukoo pamoja na dini lakini dhumuni ilikuwa na inaendelea kuwa - kudumisha fikra na malengo ya Paul Kagame wa Tanzania, yaani Hayati.
Wamejijenga vizuri sana na wametapakaa Tanzania nzima, nchi zote za maziwa makuu na kila nchi ambapo kuna ubalozi wa Tanzania, hawa wakina RAMA wapo!
Ni mtandao hatari sana! Na zamani walikuwa wanajitambulisha kwa jina la "JAMHURI YA WATU WA CHUI" lakini kulingana na nyakati zinavyobadilika, walibadilisha jina na kujiita "SERENGETI". Ni hatari mno! Muda wowote na mahala popote wanaweza kufanya lolote.
Hawa "SERENGETI" ndio waliofanya tukio japo sio rasmi kuzungumzia humu! Na sio Paul Kagame wa Rwanda, kama watu wengi wanavyodhani! Apumzike kwa amani aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa na mchungaji CHRISTOPHER!
Hawa hawa "SERENGETI" ndio waliofanya tukio la kushambuliwa kwa mbunge wa upinzani nchini Tanzania, miaka michache iliyopita.
Hii inatokana na kutoa maneno ya dhihaka na kejeli kwa huyu Hayati kwenye moja ya kikao cha Bunge kilichofanyika Bunge lililopita.
Tusiwabeze hawa "SERENGETI" kwani wako vizuri! Tena wako vizuri sana! Maana wameshika majeshi yote na sekta zote za serikali kwa kubadilisha makabila ili waonekane ni tofauti lakini siku zote wataendelea kubaki kuwa wamoja kama asili yao inavyosema, yaani wakina RAMA.
Hawa wakina RAMA ndio waliojazana pale NECTA na ndio wanaopika matokeo ya wanafunzi kwa masilahi yao na sio masilahi ya taifa la Tanzania.
Wako "too selective" na "too smart" kwa kile wanachokifanya pale NECTA.
Hawa ndio wanaoamua ni mwanafunzi gani awe wa kwanza na mwanafunzi gani apate daraja gani la ufaulu.
Ni hatari mno hata kwa maisha ya kila siku. Kwani wanaweza kuondoa mtu yoyote wanayedhani ni hatari kwa masilahi yao.
Hawa "SERENGETI" wanaoendelea kuwa hatari hadi nyakati hizi! Ogopa kabisa hawa watu mpaka wana kanisa lao linaitwa "MENO-NAITI" na ni tofauti kabisa na kanisa KATOLIKI kama watu wengi wanavyodhani!
Na walishaanza kumuabudu Hayati kwa kumfananisha na YESU kwani wao wanaamini ni mkombozi wao.
Sasa hawa "SERENGETI", kuna kikosi kazi ambacho kinashambulia mtu yoyote anayemkashifu mkombozi wao, YESU yaani Hayati!.
Pole yake kwa yule mbunge aliyejeruhiwa kwa risasi nyingi pale Dodoma. Hii iwe fundisho na angalizo kwa yoyote atakayetoa maneno ya dhihaka kwa huyu Hayati. Kwani ni hatari mno na wanaweza kukufanya uwe historia.
Sasa turudi kwenye mada husika, Rais Magufuli anatakiwa kutangaza matokeo ya wanafunzi bora waliofanya vizuri kitaifa kwa miaka iliyopita na kufumua Balaza la Mitihani yaani NECTA kwa sababu hawa wakina RAMA wamejazana mpaka wafagiaji.
Ikibidi hili Balaza la Mitihani yaani NECTA lihamishiwe makao makuu ya nchi yaani Dodoma.
Hao watumishi wa NECTA mpaka huyo Katibu Mkuu wa Balaza la Mitihani apangiwe majukumu mengine kwani ni hatari mno! Hao ndio wakina RAMA yaani Jamhuri Ya Watu Wa Chui yaani SERENGETI!
Hata yule aliyekuwa Katibu Mkuu wa Balaza la Mitihani aliyepita inatakiwa asirudi Bungeni, hii ikiwa ni moja ya njia ya kuwapunguza hawa wakina RAMA kwani ni hatari mno!
Na ifike mahala kuwepo na sheria za wanafunzi wa shule za msingi yaani "PRIMARIES ACTS" na sheria za wanafunzi wa shule za sekondari yaani "SECONDARIES ACTS" kama ilivyo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, kwani huwa kuna sheria inayosimamia haki za wanafunzi wa vyuo vikuu inaitwa "UNIVERSITIES ACTS".
Hii itasaidia kutoa haki kwa wanafunzi wote bila ya kujali Ukanda, Ukabila, Udini na Rushwa haitapenya hapa kama kukiwa na sheria za wazi zinazolinda masilahi ya wanafunzi wote.
Ndugu, nilituma hiyo taarifa kuonesha kuwa wizi au udanganyifu wa matokeo ubafanywa na shule zote za kishua na za Kayumba.Na hii ndio ilitakiwa kufanyika tangu zamani ili kuondoa udanganyifu uliopo kwenye sekta ya Elimu.
Huyu jamaa ni mwongo na ni mpenda SifaNdugu, nilituma hiyo taarifa kuonesha kuwa wizi au udanganyifu wa matokeo ubafanywa na shule zote za kishua na za Kayumba.
Kinachoshangaza ni maelezo yako, kuwa mtu anatangazwa kuwa ameongoza halafu mtu huyo matokeo yake kwenye TSM9 kama ulivyokomaa nayo kuwa yanaandikwa tofauti na yalivyotangazwa. Sasa swali linakuja, kama wanaotangaza matokeo (NECTA) ndio hao wanaojaza matokeo kwenye hizo TSM9 wanafanyaje kindezi namna hiyo? Yaani watamke jina la uongo halafu maksi kwenye makaratasi wajaze za ukweli..nini kinawazuia wasidanganye mazima,.kwenye makaratasi na kwa taarifa zao kwa umma?
Mimi sijasema kuwa huwa wanawauwa! Mimi nimesema huwa wanawapunguza [ ⚰️ ] ! Hiyo ya kuwauwa umesema wewe!Wakuue ili iweje sasa! Kwa madhumuni yapi haswa?
Kwa kutunga vijihadithi hamjambo nyinyi!
Washindwe kukuua muda wote huo wasubiri mpaka upate A ya chemistry ndio wakuue?
Kweli?
Nasikia hata Elimu ya kidato cha tano na sita amesoma kwa miaka mitatu [ 3 ] lakini hiyo yote haimuondolei sifa ya kuwa binadamu. Tumpe haki yake!Uyo namjua karudia sana shule
Marwa tena! Nadhani kuna kitu unakitafuta hapa, sio bure!mbunge Agnes Marwa karudia form 4 mara 4, hawa watu wa namna hii huwa wana kismart sana na mambo mablimbali wanakuja kufanikiwa katika mambo mengi na wakipata nafasi hawaichezei
Usifanye kama hauelewi kitu kinachozungumziwa hapa!Hao watu wa Mara unaowazungumzia unamaanisha people from Mara region au umeamua kutumia code tu?nieleweshe please
Mimi sijamsema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.UNACHO KISEMA NI PROPAGANDA NA KUTOA SHUTUMA KWA HAYATI BABA WA TAIFA NA KWA MKOA WA MARA.
Kama huju maana na chanzo cha JAMHURI YA CHUI
Kulikuwa na jamaa mmoja anaitwa Nyamaghanya
alikuwa jembe kweli na ni shujaa wa kweli wa mkoa wa mara nakumbuka mwaka 1982 alitangaza jamhuri ya watu wa chui nami nikiwa miongoni mwa wakazi wa nchi yake makao makuu yakatangazwa kuwa ni GIBASO na mishahara ya watumishi wake ni ng'ombe alikuwa na jeshi hodari sana likiitwa Esaiga ya gesambiso na vijana wa kati ambao walikuwa hodari wa kupiga mishale ndipo mchongameno akaamua kumwaga jeshi lake toka zenji kuja kumsaka shujaa wa wanamara wakashindwa kumkamata ikabidi watumie mbinu ya kupitia kwa mke wake mdogo ndipo akauwawa au akajiua mwenyewe kwenye mashimo ya gwisalaa hakukamatwa wala hakuzikwa mwili wake ulifichwa ili kukwepesha mauaji zaidi toka jeshi lake
Nyamhanga aliteremsha Bendera ya Tanzania na kupandisha ngozi ya chui na kutangaza rasmi kuwa hiyo si tena Tanzania , kuanzia siku hiyo majeshi yalikusanywa nchi nzima kama vile kulikuwa na vita ya Kagera.
Mapambano yaliendelea kwa siku zipatazo 7 hivi kabla ya Nyamhanga kupitia chini ya nyuma ya mtungi na kupotelea bondeni.
Kama ilivyokuwa kwa Hitira kuna habari za kutatanisha kuhusu huyu bwana baada ya vita kwisha. Kuna wengine wanasema yalitupwa mabomu mengi sana huko alikokimbilia na wengine wanasema alitorokea nje ya nchi.
Kuna Simulizi nyingi tu ambazo siwezi kuziandika hapa hasa kwa sababu zinahusiana na ushirikina wake, nami sina imani na ushirikina.
Sasa maswali fikirishi kama huo ulikuwa ni mpango wa NYERERE ni kwanini alete wanaheshi kuja kumvamia na kumpoteza kabisa?
Ndugu acha kutengeneza propaganda za chuki
Mimi na wewe hatufahamu kwa nini wanafanya hivyo. Halafu kwa nini tuandikie mate na wino upo!Ndugu, nilituma hiyo taarifa kuonesha kuwa wizi au udanganyifu wa matokeo ubafanywa na shule zote za kishua na za Kayumba.
Kinachoshangaza ni maelezo yako, kuwa mtu anatangazwa kuwa ameongoza halafu mtu huyo matokeo yake kwenye TSM9 kama ulivyokomaa nayo kuwa yanaandikwa tofauti na yalivyotangazwa. Sasa swali linakuja, kama wanaotangaza matokeo (NECTA) ndio hao wanaojaza matokeo kwenye hizo TSM9 wanafanyaje kindezi namna hiyo? Yaani watamke jina la uongo halafu maksi kwenye makaratasi wajaze za ukweli..nini kinawazuia wasidanganye mazima,.kwenye makaratasi na kwa taarifa zao kwa umma?