Mfahamu Tahiya John, mrembo asiyekuwa na heka heka mjini

Mi nikikutanaga na wasanii ana kwa ana, uwa siwatambui hadi niambiwe.

Ni juzi tu nilimuona Hemed Mliman ndio nikamjua direct.

Ila wengine labda watu nione wanamshangaa au nilienae aniambie yule fulani.

Yaani hawafanani kabisa na picha au video wanazotupostia.
Hahahahaha

Majuzi ka gwajima wakati kanapita nyumba kwa nyumba kuomba 'kula', kalikuja kakanisalimia sasa nikawa sielewi huyu ni nani anakuja na kundi la watu kisha anaanza kusalimiasalimia watu.
Baadaye akajitambulisha kuwa yeye ni gwajima na akaomba siku ya uchaguzi nikamchague.
Sikudhani kale ka'rashidi ni kafupi vile aisee...halafu hata hakafanani na picha nilizokuwa naziona kabla.
 
Uyo demu ni mzuri ila hizo picha ameongezea na maudambwi udambwi sio halisi.
 
Hahahahaha

Majuzi ka gwajima wakati kanapita nyumba kwa nyumba kuomba 'kula', kalikuja kakanisalimia sasa nikawa sielewi huyu ni nani anakuja na kundi la watu kisha anaanza kusalimiasalimia watu.
Baadaye akajitambulisha kuwa yeye ni gwajima na akaomba siku ya uchaguzi nikamchague.
Sikudhani kale ka'rashidi ni kafupi vile aisee...halafu hata hakafanani na picha nilizokuwa naziona kabla.
Mzee wa mmmh mmmh ( ile porn nyokooz)
 
Hiki nimekifata insta ili nikipigie puchuuuu. Ehkooooo hekooooo wadada wazuri wa jf. Niombeeni njiliwaze vyemaa
 
Attachments

  • IMG_20201028_193416.JPG
    IMG_20201028_193416.JPG
    240.9 KB · Views: 8
  • IMG_20201028_193434.JPG
    IMG_20201028_193434.JPG
    314.4 KB · Views: 8
  • IMG_20201028_193446.JPG
    IMG_20201028_193446.JPG
    296.4 KB · Views: 8
Ajichagulie jina moja Kati ya haya MDANGAJI & MALAYA
 
Niliwahi kusoma na Lulu yaani niwa kawaida kabisa , mwingine ni jokate mwegelo huyu ukimuona live niwa kawaida sana.

Back
Top Bottom