Mfahamu Tupac Shakur, nabii aliyepitia maisha ya kihuni

Mfahamu Tupac Shakur, nabii aliyepitia maisha ya kihuni

Huyu Jada n yupi

Sent using Jamii Forums mobile app
1580454281007.png
 
2Pac Shakur Nabii wa Kwanza Mweusi na inawezekana wa mwisho. Baada ya kazi yake kutimia ilimpasa auache huu ulimwengu. Alijua ana muda mchache ndio maana akatuachia urithi wa kazi zake nyingi alizozifanya usiku na mchana ili ziendelea kutoka hata atakapokuwa ameuacha huu ulimwengu. Na ni kweli kazi zake zinaendelea kutoka hata sasa.
 
They Got Money For War But Not To Feed Poor People.Dah Pac Alikuwa Noma Sana
 
2Pac Shakur Nabii wa Kwanza Mweusi na inawezekana wa mwisho. Baada ya kazi yake kutimia ilimpasa auache huu ulimwengu. Alijua ana muda mchache ndio maana akatuachia urithi wa kazi zake nyingi alizozifanya usiku na mchana ili ziendelea kutoka hata atakapokuwa ameuacha huu ulimwengu. Na ni kweli kazi zake zinaendelea kutoka hata sasa.
Aisee acheni kutufunga kamba ,kazi yake ipi imetoka mwaka Jana ,mbona hatuioni kwenye Maredio ?
 
"Tupac alianzisha uhusiano na JADA PINKETT (mwanamke ambaye alikuwa nae hadi usiku wa umauti wake)Nukuu "JADA ni moyo wangu"-TUPAC pia aliandika shairi lililoitwa JADA pia aliandika "The Tears in Cupid's Eyes." shairi hili pia lilikuwa kwa ajili ya JADA"

hiyo paragraph [emoji115][emoji115] sio kweli kuwa alikuwa na Jada usiku ule alipokuwa shooted ila kwa wakati huo walikuwa wameshaachana na alikuwa na Kidada Jones mtoto wa Quincy Jones na ndio alikuwa mchumba wake na alimwacha hotelini yeye akiwa anaenda club na Suge.

Sahihisha hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Quincy aliwapa watoto majina ya "kikwetu" sana.
Huyu Kidada, mwingine Rashida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Túpac Amaru II or Tupaq Amaru II (1742–1781), descendant of the Inca chief Tupac Amaru and leader of the 1780s uprising in colonial day Cusco, Peru. “Tupac” means “royal” “Shakur” means “Grateful” or “thankful”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom