Mfahamu Tupac Shakur, nabii aliyepitia maisha ya kihuni

2Pac Shakur Nabii wa Kwanza Mweusi na inawezekana wa mwisho. Baada ya kazi yake kutimia ilimpasa auache huu ulimwengu. Alijua ana muda mchache ndio maana akatuachia urithi wa kazi zake nyingi alizozifanya usiku na mchana ili ziendelea kutoka hata atakapokuwa ameuacha huu ulimwengu. Na ni kweli kazi zake zinaendelea kutoka hata sasa.
 
They Got Money For War But Not To Feed Poor People.Dah Pac Alikuwa Noma Sana
 
Aisee acheni kutufunga kamba ,kazi yake ipi imetoka mwaka Jana ,mbona hatuioni kwenye Maredio ?
 
Ila Quincy aliwapa watoto majina ya "kikwetu" sana.
Huyu Kidada, mwingine Rashida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Túpac Amaru II or Tupaq Amaru II (1742–1781), descendant of the Inca chief Tupac Amaru and leader of the 1780s uprising in colonial day Cusco, Peru. “Tupac” means “royal” “Shakur” means “Grateful” or “thankful”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…