mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Ndo anaruhusu majamaa watukane live on air
jana kibonde alisema neno ******,wakat kuna jina mmbadala la ku2mia kwenye hadhara,c angesema MAKALIO au MASABURI,
huyo program meneja anaruhusu ushuz huo!
Alikuwa meneja wa gang we mob piaMleta mada umetumwa alafu aliyekutuma hajakutuma vizuri.! Rudi kamwambie akupe details za kutosha na zenye ukweli.!
Seba nje huko alienda lini.? Labda nje ya nyumba au nje ya ndoa, Seba alitoka Radio one akaenda Radio Uhuru alikuwa anatangaza kipindi kinaitwa "DEIWAKA" kilikuwa kinaruka hewani kila siku za wiki saa 8 mpaka saa 10. Pia alikuwa Meneja wa Noorah enzi za VIJIMAMBO.! Huyo ndo Seba ninayemfahamu mimi kidogo kabla hajaenda Clouds Media Group..!!
Watu wa Jukwaa la Kilimo wanapoingia Jukwaa la watu wa town!!huyu jamaa alianzia redio kadhaa za jijini kabla hajachomoka kwenda nje miaka iyo na kurudi kwa kasi ya ajabu moja kwa moja mjengoni Clouds